arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Hatukuwa na kikosi kipana..key players walipopata pancha basi ndo ukawa mwsho...ila safari hii msijichanganye mkatoa gepu kama lile..mtatema ndoano😅😅😅....halafu kuna mechi tulikuwa tunafanyiwa hujuma za wazi....mfano mechi na Brentford goli lao lilikuwa offside kabisa ila mtu wa VAR akaja ku admit baadae kwamba alisahau kuchota mstari wa offside...mechi na Southampton pale kwao Jesus anashikwa waziwazi ila refa anakausha yaani tulikuwa tunafukuzna na City na marefa juu
Sio jambo rahis ilo ndg yng.
Liver ndo mtu wa mwsh kumuona anatuchallenge serious sana kiasi kwmb hata mm nilikua naogopa.
Kiukwl Arsenal hamna ile Aura ambayo liver ile ya moto ilikua nayo ambayo tumepishana nayo mabega na vikumbo mara kwa mara.
Yan mm pa1 na nyie msimu uliopita kukaa kilelen mda mref nilikua hata siwawazii kbs maana nilijua Arsenal hii lzm tuwashushe tu kwa sbb 1 tu Arsenal siku zote ikifika mda wa kua serious na mambo ndo hapo ujue lzm wakuangushe tu tena Hawata kuangusha watahakikisha wanakudharirisha piando Arsenal mlivo na team yenu iyo mda wa serious lzm iwaangushe vby sana.
Sio jambo rahis ilo ndg yng.
