Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Na akiumia ndio tumekwisha hatuna cover ya kueleweka position hii
Ghafla nimeweka matumaini makubwa sana kwa dogo Chamberlain msimu huu kuliko nilivyotegemea.
Na akiumia ndio tumekwisha hatuna cover ya kueleweka position hii
Goli la pili na hata la tatu ni muhimu kuwavunja tamaa hawa udinese, La sivyo tutafungwa away goal na itakuwa tumbo joto sasaGoli la pili muhimu sana na linakuja sasa hivi, vijana tu wanahitaji kutuliza kichwa kidogoo.
Goli la pili na hata la tatu ni muhimu kuwavunja tamaa hawa udinese, La sivyo tutafungwa away goal na itakuwa tumbo joto sasa
Big Up Mkuu mimi namtafakari huyu CHAMAKH sipati jibu,nadhani huyu STOKE CITY anawafaa.1 ) huyu striker wa leo.. atoke .... kama vipi amfuate ebue...
2) Naangalia station ya wachina hapa CCTV 5 .. hawa jamaa naelewa lugha yao.. basi commentators walianza kuponda arsenal... wakaanza kuhesabu wachezaji walioondoka.. muda unapozidi kwenda wanazidi kuwa wadogo.... hahahahaha ila naona wameamia kumponda gervinho...
P.S watu watajua lini Cesc aliikuta gooners , wameondoka key players before na gooners tuka move on!.....
Big Up Mkuu mimi namtafakari huyu CHAMAKH sipati jibu,nadhani huyu STOKE CITY anawafaa.