Chamakh has been non existent kwenye hii mechi na hizi sub mlizolazimika kuzifanya nadhani zinawalimit sasa.Sure.....We are playin as if hatuna 4wrd.......
Chamakh has been non existent kwenye hii mechi na hizi sub mlizolazimika kuzifanya nadhani zinawalimit sasa.
this carl jenkinson is never a kid to trust.........kama tutafungwa i bet a goal will come from his side......qn is what will happen if sagna akiumia?????????
We are stuck with Chamakh now.
Chamakh has been non existent kwenye hii mechi na hizi sub mlizolazimika kuzifanya nadhani zinawalimit sasa.
Ni bora tu amalizie hio sub ya mwisho kumtoa Chamakh na lolote liwe. Jamaa hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kumsaidia refa kukimbia kimbia.
Hahaha Wenger kweli kiboko duh.
Ni rahisi kuona Chamakh hafanyi kitu, lakini ukiangalia vizuri utagundua kwamba hakuna mipira inyofika kwake kutoka kwa viungo, pasi ya mwisho hakuna au mbovu!
Mkuu ata the few balls he got he squandered them.Ni rahisi kuona Chamakh hafanyi kitu, lakini ukiangalia vizuri utagundua kwamba hakuna mipira inyofika kwake kutoka kwa viungo, pasi ya mwisho hakuna au mbovu!