Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh!!! Jamaa wanatupeleka puta sana........All these Misses....Still we have home supporterz.....what will happen in the second leg.....??????
 
Naona kuna issue hapa kwamba Wenger anafanya communication na bench la ufundi . Kitu ambacho hakiruhusiwi.
 
Huyu Di Natale ni hatari sana, anaweza kurudisha goli na wakaamua ku-settle for a draw na hio itakuwa ni major drawback.

Cha kushangaza Alex Song anakwenda mbele wakti yeye ni holding midfielder. Matokeo yake mashambulizi ya hawa jamaa yanakkuwa yakiongezeka kila mara.

Johan Djourou anaonekana kama anachechemea isije ikawa ni msuli.
 
Naona mnataka kumuingiza Bendtner (world greatest striker- TM)
 
Kijana Jekinson nae anapata nafasi ya kucheza debut yake leo akiwa na umri9 wa miaka 19. Anachukua nafasi ya Johan Djourou ambae anapumzishwa kutokana na tatizo la msuli.
 
Ban ya Wenger ni ya mechi ngapi? Na kama ikigundulika alikuwa anacommunicate na benchi lake adhabu ni nini?

Nadhani ni mechi hii tu, wanaweza kumpiga ban nyingine labda sema UEFA wamesema wanafanya uchunguzi kuona kama kuna violation yoyote. Yule babu mwenye mawani pembeni ya Wenger ndio anatuma ujumbe kwenye bench kutoka kwa Wenger.
 
wenger naona anatoa instructions pale... kwa jamaa sijui anapiga simu kwa MATA!!!
 
Kadri hii mechi inavyoendelea kuwa 1-0 ndivyo Udinese wanavyozidi kupata confidence.
 
This Carl Jenkinson is never a kid to trust.........kama tutafungwa i bet a goal will come from his side......Qn is what will happen if Sagna akiumia?????????
 
Ban ya Wenger ni ya mechi ngapi? Na kama ikigundulika alikuwa anacommunicate na benchi lake adhabu ni nini?

Unajua msaidizi wa mzee Wenger Pat Rice ambae yupo kwenye bench alionekana akimwangalia Wenger mara kwa mara na yeye Wenger akawa anatoa maagizo kupitia msaidizi wake mwingine ambae amekaa nae ingawa huyo msaidizi anatumia mobile phone kutuma sms kwa Pat Rice.


Unajua hairuhusiwi kutoa maagizo au maelekezo ukiwa umefungiwa kuwepo kwenye "touchline" na ikigundulika unakuwa unaongezewa ile ban.
 
What the hell is this damn Chamackh still doin in there?????????????
 
Back
Top Bottom