Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manjesta wamemvunja mtu mapafu

Manjesta hii ni pre season tu asee

Man United Punctured the Lung of a Wrexham player last night …..

In a friendly ……

Arsenal were lucky to not get a serious injury against these hatchet men!
20230726_111420.jpg
 
Teamnewsandix-Tier 1

Arteta wants the right people.
People that really really want to play for Arsenal.
We have all seen what we have created at the Emirates with the fan base the last couple of years and everyone has to buy into that.

Some deals take longer while we test if the player wants only us. If they flirt elsewhere we will pull out.
 
Sidhan Kama jamaa ana mtazamo huo unaousema na sijaona sehemu kasema kahamia atletico


Nilichosema mm ni uhalisia wa Arsenal kwenye makocha ,hawana hizo habari za timua timua

Hata Emery alitimuliwa sababu alikuwa anaididimiza klabu inacheza Kama manjesta au Burney ,

Arteta sio kwamba ni kipenz Cha owners tu hata mashabiki wanampenda ,ndio maana nasema anaweza kufika hata miaka 20+


Nyie manjesta subiri 7hag ayumbe kidogo ,x mass anaweza asiione
hapa kagusia kidogo tu kua hio pesa mliyopoteza kumnunua Harvez ni bora mngemchukua Diaby au Olise, jamaa akamkumbushia kuhusu Atletico Madrid
Masterclass Arteta ni kocha la makocha, ashawapigisha pindi sana kina 7Hag, Pep, Mancini na Luis Enrique pale Mchikichini.
Msimu huu unaambiwa Masterclass king of pressing & overloading hakuna kombe lolote ataacha kubeba, na mkiletea jeuri anachukua mpaka Cecafa ili kuwafunga midomo.

Hii siyo Arsenal ya ndoo, hii ni Arsenal ya mindoo, mibeseni mpaka mabakuli yote.
1690359108194.jpg
 
Manjesta wamemvunja mtu mapafu

Manjesta hii ni pre season tu asee

Man United Punctured the Lung of a Wrexham player last night …..

In a friendly ……

Arsenal were lucky to not get a serious injury against these hatchet men!View attachment 2699538
Yule kocha wao Baba Ubaya muangalie hata akifanya press conference anayoyaongea...yaani kakaa kivitavita tu....kama hii ndo style wanayotaka kuja nayo kwny ligi kuu wajiandae na suspension nyingi za wachezaji....watu wanacheza kama Abajalo fc mzee....wakati ni pre season tu
 
Declan Rice-


"Kwa kweli naona soka kwa njia tofauti kabisa sasa.. Unapokuwa unakuwa unafikiri unajua soka unapokua unacheza, lakini unakutana na makocha kama Mikel Arteta na unagundua kuwa hujui lolote."


(kupitia @imadAFC )View attachment 2699533
The masterclass mwenyewe,
Unaambiwa mpaka marehemu mzee wenger kipindi anafundisha Arsenal alikua anamuomba Arteta awe anamfundisha technics za football.
Kipindi hicho Arteta ni mchezaji lakini first eleven na Subs zote alikua anapanga yeye.
Masterclass anaenda kudominate Epl kwa zaidi ya miaka 30.
 
Mikel Arteta on what he said to Martinez on Saturday:


“I was just happy to see him over there, I know him personally. I was happy to see him back after his injury & that’s it, it is about the sport, it’s about the people we know & we wished each other good luck for the season.”View attachment 2699534
Amedanganya...kamwambia kijana chezacheza kwa Hawa malofa ukibakiza mwaka mmoja tutakuchukua uje kucheza na wanaojua mpira sio hao wacheza ndoige
 
Yule kocha wao Baba Ubaya muangalie hata akifanya press conference anayoyaongea...yaani kakaa kivitavita tu....kama hii ndo style wanayotaka kuja nayo kwny ligi kuu wajiandae na suspension nyingi za wachezaji....watu wanacheza kama Abajalo fc mzee....wakati ni pre season tu
dunia imebadilika watu wanataka sexy football ya Masterclass Arteta ila baba ubaya anang'ang'ania kuvunja kuni mpaka kwenye pre season.
 
ndio maana nimemtahadharisha mapema ndugu yangu zitto junior asilete hizo story za kumfukuza Masterclass, anatakiwa ajue hapo Arsenyo Mateka ndio Alfa na Omega, habari za kumsema vibaya Kocha la boli jukwaa ataliona chungu hili shauri yake.
Kuna wakereketwa tayari wameshamkumbusha kua yeye ni mamluki alishahamia Atletico Madrid.
Acha uchochezi
 
| Gabriel Jesus on his injury last season:

“Comparing with my injury on my foot in 2017 it’s so different. This is my first injury, and I hope, it’s the last one on the knee.

“So now I'm suffering a little bit more than with my foot. So it’s been hard, but I'm working hard to get fitness and then come back strong.

“I want help. I want to work, I want to learn from Mister [Mikel Arteta], from the players as well.”


[@arsenal] #afc
20230726_115435.jpg
 
Huyo jamaa huwa anapenda kuchochea ,halafu baadae anasema Arsenal fans Wana matusi ,n.k ila Hakuna mtu mchochezi Kama huyo jamaa ,anawekaga mitego yake itokee fujo humu afurahie
Ila ni mmoja kati ya wapenzi wa mpira wazuri tu na hasa beautiful sex soccer kama ya arsenal
Flanoooooooooooooooooo
 
Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.

Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Havertz amecheza mechi ngapi mpaka useme tumekula hasara Mzee??

For only one game???Aaaaaah sio kweli mkuu
 
Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.

Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Havertz ni hasara tayari kumbe?.
 
Utakua pimbi kama unaamini Pochettino ni kocha wa kucheza possession football itakayowapa wachezaji wenu muda wa kufanya 1,2 au kumnyanyasa mpinzani
Pochettino anacheza soka la kushambulia sio possession football nikusahihishe hapo alafu ni kocha mwenye jicho la kuona kipaji na kukimprove
 
Kufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
tuna Maagent wawili hapo kwenu Kai na jorginho kama mtawachezesha ngumu nyinyi kupata ushindi kwetu
 
Back
Top Bottom