Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mfano ligi ingekua inaanza kesho kisha mid yetu ingekua ni Rice, Martin na Kai ingekua ni disaster.

Waweza argue kwamba mbona Rodri, Silva na De Bruyne wanacheza hivyo pale City na utakua sahihi.

Ishu ni kwamba iliwachukua muda gani? Phillips mpaka leo hapati namba kwakua hawezi leta anacholeta Rodri.

Hapa ndiyo tulisema Partey akiuzwa kisa Rice yupo tunarudi steps nyuma, na ndipo nikasema akija Zubimendi kwa jinsi tunavyocheza ataclick mapema ila akija Rice itabidi azoee.

So once hii mid ikigain momentum tutaifurahia na wengine wataanza kutuquote na kutuambia sisi tulisema
Nadhani ndio maana Arteta kaamua Partey abaki kwa msimu huu
 
Mkuu ushasahau kwamba Chelsea ndio team iliyoingiza pesa nyingi hadi sasa kuliko team yoyote pale epl kwa kuuza wachezaji wengi tumepata more than 300M paund tumeuza kai,Mount,kovacic,Pulisic,Kante,koulibaly,Ruben Loftus cheek, edourd Mendy na Auba na bado tuna mpango wakuwauza Lukaku,Ziyech,odoi so tutapata tena hela nyingi so kwenye pesa hatuna shida mkuu
Hebu weka na thamani ya pesa mliyotumia kununua hao mliowauza
 
Kwa hela za madafu ni karibu Trillion 1.5 , kwa mwaka , sawa na utajiri wa Mo
Vita kubwa sana hii PSG ndiye muamuzi wa mwisho na pound Milioni almost 300 sio hela ya kitoto na Mbappe kwenda Saudi kwa sasa sidhani kama ana wazo hilo hapa nitafute popcorn niangalie movie hii ya hatari ambayo haijawahi kutokea kwenye football ️ nimeamini huwezi kushindana na club yako na ukashinda Mbappe alichokoza nyuki sasa wamemvamia
 
Vita kubwa sana hii PSG ndiye muamuzi wa mwisho na pound Milioni almost 300 sio hela ya kitoto na Mbappe kwenda Saudi kwa sasa sidhani kama ana wazo hilo hapa nitafute popcorn niangalie movie hii ya hatari ambayo haijawahi kutokea kwenye football
PSG hawamtaki Tena wamesema hata €100m wanachukua ,tayari vilabu vinapambana kumtaka ,sio muda nimeona Barca nae kajiunga ,Spurs nae kajiunga anataka amuunganishe Kane,

Waarabu ndio wameweka ofa komesha , hawajakubaliana bado na mbappe ,so yanaweza tokea yale Yale ya Raphina na Chelsea ,FDJ na manjesta ,walikubalina Bei na vilabu , wachezaji wakawakataa

Uzuri wasaudia wamemwambia ni mkataba wa mwaka mmoja tu Kisha aende zake Madrid

Kwasasa wanasubiri jibu la mbappe , PSG hawamtaki mbappe kabisa wamesema akibaki hawamsajili kucheza hata UCL
 
Having seen a number of different trios so far this preseason, which trio do we think will be most successful?

Rice, Havertz, Odegaard - A trio that has looked promising, but Havertz will definitely need time to settle in and adapt to his new midfield role.

Rice, Partey, Odegaard - A solid, more defensive option. Rice and Partey could act as more of a double pivot in the middle with Odegaard as a number 10. It has worked so far and would include both Partey and Rice. A reliable option.

Another option? Rice, Trossard, Odegaard? Rice, ESR, Odegaard?

Which one would you start the season with?View attachment 2697595
Kuna trio nyingine hii hapa

Trossad partey Rowe
 
Kufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
Watasema tuna arrogance, but huo ndio uhalisia but I understand what u say ,
 
Oleksandr Zinchenko will only play a maximum of five minutes in the Game4Ukraine on Saturday 5th August.

He will be available for Arsenal in the Community Shield final on Sunday 6th August.

He’s currently being managed closely by the club as he’s still recovering from the calf injury that kept him out at the end of last season.

He is expected to return to full first-team training over the next week. #afc
20230724_150022.jpg
 
PSG hawamtaki Tena wamesema hata €100m wanachukua ,tayari vilabu vinapambana kumtaka ,sio muda nimeona Barca nae kajiunga ,Spurs nae kajiunga anataka amuunganishe Kane,

Waarabu ndio wameweka ofa komesha , hawajakubaliana bado na mbappe ,so yanaweza tokea yale Yale ya Raphina na Chelsea ,FDJ na manjesta ,walikubalina Bei na vilabu , wachezaji wakawakataa

Uzuri wasaudia wamemwambia ni mkataba wa mwaka mmoja tu Kisha aende zake Madrid

Kwasasa wanasubiri jibu la mbappe , PSG hawamtaki mbappe kabisa wamesema akibaki hawamsajili kucheza hata UCL
PSG wamekaza tako utafikiri kama sio wao juzi tu hapa walimpa madaraka makubwa

Problem kubwa ambayo nimeiona ni kuwa je akienda Saudi mwaka mmoja na kurudi je kiwango kitakuwa vilevile au kitadrop kutokana na competition ya Saudi league?
 
Mbappe umri unaruhusu ,hawez kupotea kiwango kirahisi

PSG wamesema anaiua klabu yao
 
Mfano ligi ingekua inaanza kesho kisha mid yetu ingekua ni Rice, Martin na Kai ingekua ni disaster.

Waweza argue kwamba mbona Rodri, Silva na De Bruyne wanacheza hivyo pale City na utakua sahihi.

Ishu ni kwamba iliwachukua muda gani? Phillips mpaka leo hapati namba kwakua hawezi leta anacholeta Rodri.

Hapa ndiyo tulisema Partey akiuzwa kisa Rice yupo tunarudi steps nyuma, na ndipo nikasema akija Zubimendi kwa jinsi tunavyocheza ataclick mapema ila akija Rice itabidi azoee.

So once hii mid ikigain momentum tutaifurahia na wengine wataanza kutuquote na kutuambia sisi tulisema
Hapa kwa Partey kupiga kelele hasiuzwe tumepiga sana kusema ukweli, ila kuna baadhi mpaka leo wanaona hata partey akiondoka ni sawa tu nahis bado hawajajua umuhimu wa TP5 arsenal, mara zote hua tukiwa out of form hua tunalalamika sana na ukifatilia mara nyingi partey anakua hayuko sawa hapo timu hua inakosa kila kitu uwanjani. Kauli ya Arteta kusema anamuitaji partey abaki ilinitia moyo na kunifuraisha sana.
 
Nilikuambia Rice hawezi kucheza lone DM, ukabisha. Umejionea sasa uchochoro uliopo.

Kutibu tatizo lenu la mid ni lazima Havertz awe shabiki tu (bench) Partey, Rice, Ødegaard ndiyo tiba ya tatizo lenu.

Ndiyo maana mpaka leo sielewi Arteta alikuwa anawaza nini kumnunua Havertz kwa £65m.

Tatizo lingine ni defence yenu yote mpaka kipa. Mkiambiwa mnabisha, Arsenal mmejaza tu watu na siyo quality.

Arsenal ni wachezaji wa 4 tu: Saka, Ødegaard, Rice, Timber. Wengine wanawapotezea muda tu.

Ongeza na hawa mkuu Matineli , tomiyasu
 
Hapa kwa Partey kupiga kelele hasiuzwe tumepiga sana kusema ukweli, ila kuna baadhi mpaka leo wanaona hata partey akiondoka ni sawa tu nahis bado hawajajua umuhimu wa TP5 arsenal, mara zote hua tukiwa out of form hua tunalalamika sana na ukifatilia mara nyingi partey anakua hayuko sawa hapo timu hua inakosa kila kitu uwanjani. Kauli ya Arteta kusema anamuitaji partey abaki ilinitia moyo na kunifuraisha sana.
Hizi kelele za kuondoka Partey nilisema ni sawa na zile za Xhaka had bid ilitumwa mwisho alibaki, Partey atauzwa msimu ujao

Ili auzwe msimu huu iletwe pesa ya kutamanisha
 
Vita kubwa sana hii PSG ndiye muamuzi wa mwisho na pound Milioni almost 300 sio hela ya kitoto na Mbappe kwenda Saudi kwa sasa sidhani kama ana wazo hilo hapa nitafute popcorn niangalie movie hii ya hatari ambayo haijawahi kutokea kwenye football ️ nimeamini huwezi kushindana na club yako na ukashinda Mbappe alichokoza nyuki sasa wamemvamia
Kwani inaweza kutokea club ikaamua kukuuza alf wewe ukakataa itakuaje? ???
 
Ongeza na hawa mkuu Matineli , tomiyasu
Unaamin ujinga wa huyo jamaa ,Yaan Partey, Zinchenko,Saliba , Martinelli, Magalhaes hawa anawafananisha na kina Anthony, Sancho, bisaka ,dalot , mount

Tukipinga upuuz Kama huu wanakuja juu Nina arrogance
 
Back
Top Bottom