Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio maana partey alivyoumia Lokonga hakutosha pale kwenye kiungo
Tukajikuta timu nzima inadrop chini kabisa kusaidia defense

Sasa saka na martinel ukiwahakikishia flow ya mipira kule mbele, kwa wastani wwa kila dakika 20 lazima ufungwe tu

Zinchenko pass 2 nyuma nane zitaelekea mbele

Vision ya odegard na Sasa hivi tuna huyu rice ambae nae ni mnyambulikaji mzuri.

saka hana record za majerui ya Mara kwa Mara.

Kuna balaa Sana msimu huu,
Yah hii timu yetu huwa inahitaji flow ya mipira kule mbele Basi

Umenikumbusha kweli, alikuwa akiumia Partey ,inakuwa timu ya tofaut kabisa,angalia hata mwisho alipoumia Zinny , Kuna Radha unaikosa

Nikionaga mtu ana mdisrespect Zinny ,huwa nataman nimchape vibao aisee

Yule mbwa anapiga pass ,

Newcastle wanaziba Sana mianya walimkubali ,
 
Sasa ile no phase ya 4
Phase ya 5 kila namba iwe na watu wawil, wanaofanana uwezo ambao wapo versatile

Kyle Walker mwenyewe anakuambia zinchenko ni noma

Partey na zinny wakiishika dimba unatamani mpira usiishe
Nyumbu alitembezewa msako Hadi akapanua mapaja mwenyewe
Flano akitoka lindoni atasema tunajisifu Sana
 
Kuna mechi Vs Newcastle Emirates ,jamaa walikuwa wanaomba mechi iishe maana muda wote Nelli na Saka wanaletewa Mali

Na hiyo ya Nyumbu , Shaw kila muda anakuta Saka huyu hapa

Kuna combination nadhani ndio itaanza Ligi

Partey dimba la chini ,Zinny ndan , Rice ndani
 
Ofcoz, wale sio nyumbu
Ni ufundi na uwezo binafsi wa wachezaji,

Mimi nitatumia muda mwingi kumuangalia timber, Kuna vitu nashindwa kuviongea kutoka kwake
Ni kwamba anamuacha Sana Saka anakuwa alone ?

Hata mm bado namuangalia ,nataka nione Saka akicheza na RB anayefanya Sana overlap ili apate space , maana Saka ni hatari Sana kwenye tight space , akikutana na RB anayefanya Sana running ,means Saka atakuwa anaingia Sana kwenye box

National team walicheza Sana kwa overlap na TAA , saka alitia hattrick mapema tu

TAA akapost akikubali combination yao
 
Ofcoz, wale sio nyumbu
Ni ufundi na uwezo binafsi wa wachezaji,

Mimi nitatumia muda mwingi kumuangalia timber, Kuna vitu nashindwa kuviongea kutoka kwake
Hiyo ni mechi nzuri yakupimana Sana kwenye matumizi ya umiliki mpira , ufundi , positioning ,

Sitarajii kwakweli kuona mpira Kama ule wa manjesta wakutaka kuvunjana
 
Kuna mechi Vs Newcastle Emirates ,jamaa walikuwa wanaomba mechi iishe maana muda wote Nelli na Saka wanaletewa Mali

Na hiyo ya Nyumbu , Shaw kila muda anakuta Saka huyu hapa

Kuna combination nadhani ndio itaanza Ligi

Partey dimba la chini ,Zinny ndan , Rice ndani
Mimi naitamani hii hapa

...... Rowe................ .........odegard
.........................partey

Kiwior......saliba. ..... Gabriel.......timber

Game za FA, au kukamilushq ratiba UEFA
 
| Kieran Tierney on learning Oleksandr Zinchenko’s position:

“I’ve done it for the last year. I’m learning it. Alex is the prime example of how to do it so if you’re going to learn off anyone, it would be Zinchenko.

“I’ve been learning off him and asking him questions but there are so many different ways of playing. The last few games I haven’t been doing that.

“It’s all learning as it was genuinely all new to me. I had never played in the centre of the park before. It wasn’t somewhere I ventured in very often before, so it makes you a better player learning.” [@MailSport] #afc
20230726_001029.jpg
 
Mikel Arteta kuhusu kama safu ya kiungo ina nguvu(physical) ya kutosha:

"Itabidi tutafute uwiano(combination) sahihi pia, lakini mwaka mmoja uliopita Granit hangeweza kucheza kama kiungo mshambuliaji. Kwa hivyo wacha tujaribu kumaliza kazi.

“Ni mara ya kwanza tulicheza na wachezaji wanne ndani, na watatu kati yao walikuwa hawajawahi kucheza hapa. Wachezaji watatu kati ya wanne, hawakuwahi kucheza pamoja. Kwa hivyo,muwe na utulivu! Siku baada ya siku, endelea kufanya mambo yanayofaa, wape watu nafasi ya kuyatatua mambo katika usahihi na tutakuwa sawa.

“Unatumia neno "Physical".

Kwa hivyo nikiweka Granit na Kai na nikuulize ni nani Physical zaidi? Ungesema nini?

Kai ana 1.91m, kwa hivyo inategemea unamaanisha nini kimwili. Kimwili ni (pia) uwezo wa kukimbia, kufanya tackle. Inategemea. “Kwa hiyo tutaendana na sifa tulizonazo, hilo ni la uhakika. Na jambo zuri ni kwamba tuna chaguzi(option) pia. Tunapokuwa na mchezo ambao ni wa nguvu zaidi, tunaweza kuwa chaguzi ya kiungo Cha kutumia nguvu sana pia. Tuna chaguzi sahihi."

[@arsenal]
 
| Mikel Arteta juu ya kama Kieran Tierney ni sehemu ya mipango:

"Yupo, yuko kwenye mipango yetu, na kama ulivyosema, alicheza vizuri sana (Jumamosi). Sio mara ya kwanza, kila anapocheza kwenye pre-season, amekuwa vizuri sana.

"Hii ndio sababu tunataka kuunda ushindani katika timu, kuinua kiwango cha kila mtu na hiyo itakuwa faida kubwa kwa timu kufikia kiwango kingine."

[@arsenal]
20230726_001029.jpg
 
In Los Angeles with Arsenal. Mikel Arteta has told fans to stay calm ("tranquilo!") with Kai Havertz as he adapts to his new role in the #AFC midfield.

Arteta adds:

"When we want a game to become more physical we have the options to be very, very physical."
20230720_053410.jpg
 
Kwasababu timber na saka partnership unahitaji muda wazoeane

Kuna trossad, Rowe, Kai, kiwior, tomiyasu

Hapo bado Kuna Tierney, nketiah, Nelson

Kudus je akija?

Mbape nasikia anatushobokea, Ila Arteta amekausha

Kusema kweli, Mimi nakosa first eleven, Ila najua msimamo wa kwanza ni Arsenal NDOO

Naimani Arteta huko alipo kichwa kinamuuma Kama mimi

Arsenal ndooo lazima
 
mbape
 
Alishaonesha mwanga wapi timu anaipeleka , tatizo mashabiki wengi wanasahau Arsenal aliyoikuta na alipoifikisha Sasa na inapoelekea

Ni swala la muda Arsenal kuanza kupambania mataji makubwa Tena

Sio habari ya top 4 tena ,

Kwa culture ya Arsenal ni wazi huyu jamaa walishamuandaa ,ukiweka mising mizuri mataji yatakuja tu ,Sion akifukuzwa namuona akikaa Sana Arsenal like Wenger

Sababu anapita mule mule alipopita Wenger ,halafu yeye ana advantage anapewa Pesa za kutosha
Trust me alishindwa deliver msimu huu atatimuliwa, expectations zikiwa juu sana ndio unapofukuzwa.

Tofauti ni Msimu uliopita expectations zilikua chini ndio maana akaonekana ame over achieve but akishindwa sustain Hilo basi ndio mwisho wake.
 
Back
Top Bottom