Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Trust me alishindwa deliver msimu huu atatimuliwa, expectations zikiwa juu sana ndio unapofukuzwa.

Tofauti ni Msimu uliopita expectations zilikua chini ndio maana akaonekana ame over achieve but akishindwa sustain Hilo basi ndio mwisho wake.
KSE Sion wakimfukuza ,kumleta kocha Sasa hivi aanze na moja , labda Kama ipoteane Zaid ,

Zaidi naona watazidi kuwekeza zaidi
 
Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.

Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Kuna tetes concrete za RW , hasa kudus
 
|| People inside Grêmìo have confirmed they have indeed received a proposal from Arsenal for Bitello. Porto haven’t done so, yet.
 
Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.

Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Mkuu,
Naona umerudi kwenye timu yako ya Moyoni, Kule Atl Madrid ulikuwa unazuga tu Mkuu kuhama timu sio kazi rahisi.
 
First eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Hapo kwa rice ajikaze kwa kweli naona kama trossard ama zinchenko ni bora zaidi yake, arteta angewajaribu hao kidogo, napenda midfielde mnyumbulifu, kama akihitajika beki wa kuingia ndani timber anaweka fanya hivyo kwa uoamde wa kulia, hapo saka ajiandae kuwa jeshi la mtu mmoja.
 
Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.

Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Mkuu usha-conclude Kai ni hasara

Kweli Bongo nyoko,
 
Hapo kwa rice ajikaze kwa kweli naona kama trossard ama zinchenko ni bora zaidi yake, arteta angewajaribu hao kidogo, napenda midfielde mnyumbulifu, kama akihitajika beki wa kuingia ndani timber anaweka fanya hivyo kwa uoamde wa kulia, hapo saka ajiandae kuwa jeshi la mtu mmoja.
Trosaard kashaonekana anaiweza vzr Sana ,anaitendea haki

RICE hapo ni ili ku offer ulinzi, ujue timu yetu huwa inahitaji assurance tu kuanzia kwa ode ,saka ,Jesus ,Nelli , wakiwa na uhakika wa ulinzi na kuletewa mipira , wanafunga Sana

Arteta amesema hata Jana Kai atamtumia namba tofauti tofauti

Kuna mechi tunaweza ku switch 4-4-2 , Kai anasimama pale mbele double Strikers
 
NEW: Bitello is one of the names on Arsenal's South American scouts' radar.

(@FabrizioRomano)
 
Trosaard kashaonekana anaiweza vzr Sana ,anaitendea haki

RICE hapo ni ili ku offer ulinzi, ujue timu yetu huwa inahitaji assurance tu kuanzia kwa ode ,saka ,Jesus ,Nelli , wakiwa na uhakika wa ulinzi na kuletewa mipira , wanafunga Sana

Arteta amesema hata Jana Kai atamtumia namba tofauti tofauti

Kuna mechi tunaweza ku switch 4-4-2 , Kai anasimama pale mbele double Strikers
Kwa nafasi hiyo inabidi mchango wa kushambulia na kukaba uwe sawa sawa, kwenye kushambulia atupe kitu atleast kinachokaribiana na odegaard

Kuna sehemu nimesoma humu jamaa kamquote arteta kuhusu xhaka ukisoma pale utajua xhaka alikiwa hatupi vitu vizuri saaan linapokuja suala la kushambulia.
 
Bado nina mtazamo tofauti na wengine, binafsi £100m zilizotumika kwa Rice, zingetumika kwa Caicedo nisingekuwa na la kusema.
Kile chuma ni underrated lakini shughuli yake si ya kitoto
 
Yah ,kaongea Jana ,Arteta anaamini runs za Kai zitamsaidia Sana kuongeza magoli

Tatizo limekuja kwenye ukabaji ,ndio maana kasema atamtumia kulingana na mechi ,lakin anasema atakuwa sawa kadri anavyopewa muda

Hakuna nafas ngumu yenye majukumu magumu Kama LCM & RCM , zinakutaka ushambulie na ukabe ,na uwe sehemu sahihi kwa wakati sahihi

Trosaard alicheza akiwa Brighton ndio maana hajasumbuka Sana ,

Anachofanya Arteta anataka wawe wengi eneo Hilo
 
Bado nina mtazamo tofauti na wengine, binafsi £100m zilizotumika kwa Rice, zingetumika kwa Caicedo nisingekuwa na la kusema.
Kile chuma ni underrated lakini shughuli yake si ya kitoto
Caicedo sio typical lone 6 tofaut na Rice , kingine Caicedo amekuwa na msimu Bora mmoja tofaut na Rice , idea ilikuwa kuwapata wote, mwisho wamewekeza kwa mmoja ,

Naona Chelsea wamegoma kutoa £100m ,

Kama msimu ujao akabaki na akawa kawaida Bei itashuka zaidi
 
Mikel Arteta's Pressers are great for the doubtful Arsenal fans.

Havertz,Timber and Rice need to adapt to the team.

Timber is ahead bcoz of the similarities between Ajax and Arsenal's style of play.

On the other hand Kai and Rice are coming in from totally different systems
 
Arteta not having the suggestion that Havertz leaves Arsenal’s midfield lightweight.

“We have to find the right balance but a year ago Granit could never play as an attacking midfielder…

“Three of them had never played together, ever.

So tranquillo”
 
Trust me alishindwa deliver msimu huu atatimuliwa, expectations zikiwa juu sana ndio unapofukuzwa.

Tofauti ni Msimu uliopita expectations zilikua chini ndio maana akaonekana ame over achieve but akishindwa sustain Hilo basi ndio mwisho wake.
Ndugu yangu zitto junior mi nakukumbusha tu kwa nia njema, humu ndani Mateka hua haongelewi vibaya shauri yako, ukianza kuleta habari za Mateka kufukuzwa hili jukwaa utaliona chungu.
 
Kaongelea kufukuzwa , uhalisia ni kwamba Arsenal hawana Sera ya kufukuzana ,ukiona umefukuzwa ujue umevuka mipaka

Na unamfukuza Arteta Sasa hivi unamleta Nani ?

KSE wanampenda Sana Arteta usitarajie kusikia ujinga wakufukuzwa , 2020 alipoteza mech 3 mfululizo ,asubuhi wakampa mkataba mpya zaidi na kumuongezea mshahara

Walimtoa kutoka kuwa kocha ,had kuwa manager cheo kile kile Cha Wenger

Alikuta Thaman ya Arsenal imeshuka Sana ,na jamaa walikuwa hawana uhakika wa kuwekeza pesa ,Sasa hivi thaman ya klabu imepanda , na wanazidi kuwekeza Zaid na zaidi

Klopp pale Liverpool Kama Arteta Arsenal , Klopp miaka 7 ana EPL 1 , uliwahi sikia atafukuzwa ,ukimfukuza klopp pale unamleta Nan?
Arsenal wakimfukuza Arteta wamlete Nan? Conte tupaki Basi?7hag?

20230725_133859.jpg
 
View attachment 2699508
ndio maana nimemtahadharisha mapema ndugu yangu zitto junior asilete hizo story za kumfukuza Masterclass, anatakiwa ajue hapo Arsenyo Mateka ndio Alfa na Omega, habari za kumsema vibaya Kocha la boli jukwaa ataliona chungu hili shauri yake.
Kuna wakereketwa tayari wameshamkumbusha kua yeye ni mamluki alishahamia Atletico Madrid.
 
ndio maana nimemtahadharisha mapema ndugu yangu zitto junior asilete hizo story za kumfukuza Masterclass, anatakiwa ajue hapo Arsenyo Mateka ndio Alfa na Omega, habari za kumsema Kocha la boli jukwaa ataliona chungu hili shauri yake.
Kuna wakereketwa tayari wameshamkumbusha kua yeye ni mamluki alishahamia Atletico Madrid.
Sidhan Kama jamaa ana mtazamo huo unaousema na sijaona sehemu kasema kahamia atletico

Nilichosema mm ni uhalisia wa Arsenal kwenye makocha ,hawana hizo habari za timua timua

Hata Emery alitimuliwa sababu alikuwa anaididimiza klabu inacheza Kama manjesta au Burney ,

Arteta sio kwamba ni kipenz Cha owners tu hata mashabiki wanampenda ,ndio maana nasema anaweza kufika hata miaka 20+

Nyie manjesta subiri 7hag ayumbe kidogo ,x mass anaweza asiione
 
Mikel Arteta on what he said to Martinez on Saturday:

“I was just happy to see him over there, I know him personally. I was happy to see him back after his injury & that’s it, it is about the sport, it’s about the people we know & we wished each other good luck for the season.”
20230726_111237.jpg
 
Back
Top Bottom