hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,279
- 26,655
Hawezi kuleta hizi takwimu humu.Mchezaji wao Bora kwa kila kitu alikuwa KAI
Kai Havertz for Chelsea in the 2022/23 Premier League:
◉ Most goals
◉ Most shots on target
◉ Most chances created
◉ Most aerial duels won
◉ Most possession won final ⅓
◉ Most final ⅓ passes
◉ Most duels won
◉ Most flick-ons
◉ Most lay-offs
Chelsea ni kweli ilikua imeoza, navyosema chelsea namaanisha team ilikua haieleweki inacheza mfumo gani? Inacheza vipi kuuza kwa wachezaji ni kutokana na uko wanakoenda wanajua hii profile la mchezaji huyu akija kwangu atafit vizuri na atarudi kwenye kiwango chache ndo maana yangu iyo ya Chelsea kuoza.Ukisema Chelsea ilikuwa imeoza basi isingeweza kuuza wachezaji wake kwenye timu nyingine

️ | Bitello seems just like the player who would shock all the fans and be a great signing for the Gunners! 
#afc
Naona kocha wako bora kapigwa 3 kama nembo ya jeziKane, Delle Ali, son, Dembele, Ericksen, Dan rose and walker
EishCastr
BREAKING: Liverpool are preparing a new bid for Roméo Lavia — around £42.5m guaranteed fee plus £2.5m add ons up to total £45m package
Liverpool want to be fast as Chelsea are still interested in Lavia.
Arsenal gone quiet as Thomas could now stay. [@FabrizioRomano]
Ni Ozil aliyepoa na mvivu zaidi. Hana ubavu wa kukaba na kushinda challenge, sio mfungaji kucheza tisa, Hana spidi kucheza winger, so anaweza chezea namba 8 ila Sasa hatoweza defend kabisa hivyo anakua mzigo hasa kama Zinchenko atakua anapanda juu kushambulia.Havertz ni hasara tayari kumbe?.
Mbona keshacheza mechi kibao Chelsea na Germany the man is a liability mara kumi tungesajili Mason Mount ni better fit kwa Xhaka.Havertz amecheza mechi ngapi mpaka useme tumekula hasara Mzee??
For only one game???Aaaaaah sio kweli mkuu
Alichokiona ww huwezi kukiona...ngoja msimu uanze acheze hata mechi 10 mfululizo then utaona Sasa alichokiona Kocha kwake hyo jamaaNi Ozil aliyepoa na mvivu zaidi. Hana ubavu wa kukaba na kushinda challenge, sio mfungaji kucheza tisa, Hana spidi kucheza winger, so anaweza chezea namba 8 ila Sasa hatoweza defend kabisa hivyo anakua mzigo hasa kama Zinchenko atakua anapanda juu kushambulia.
Mimi nilipinga sana huu usajili tokea mwanzo sijui Arteta aliona Nini ambacho hatuoni? Inashangaza sana huu usajili
Si mara ya kwanza wachezaji ku flop pale Chelsea na wakaonekana hamna kitu ila walipokwenda timu zngine wakawa tofauti kbsaMbona keshacheza mechi kibao Chelsea na Germany the man is a liability mara kumi tungesajili Mason Mount ni better fit kwa Xhaka.
Tutarudi hapa December kujadili what went wrong na Kai

️ | New Arsenal signing shocked by level of quality at the club.
New signing Declan Rice on life at Arsenal: “Yes, it's crazy (training with his new teammates). It's honestly crazy. I'm already seeing football in a completely different way.”

Thiago Silva anaingia alikuwa bora sana last season as individualIla Chelsea kweli ilikua umeoza yan Felix nae unamuweka kwenye wachezaji waliofanya vizuri msimu ulioisha??
Yan kwenye hao uliowataja walikua bora hakuna hata mmoja anaeweza kuingia kwenye kikosi cha top 10 ya last season.
Sikutaka nikujibu kama ulivyoniuliza hali kukuonesha kuwa Pochettino ni mzuri sana kwenye kuona mchezaji kumfanya awe bora ndio maana nimekutolea mifano mingi sio kama ulivyotaka weweHehehe rudia kusoma nilichoandika
Binafsi Pochinene kwenye kuendeleza vipaji sijawahi kuwa na doubt nae ,amefanya hivo akiwa soton , akaenda Spurs ndiye akaitoa level 1 kwenda nyingine had leo wapo hapa ,Sikutaka nikujibu kama ulivyoniuliza hali kukuonesha kuwa Pochettino ni mzuri sana kwenye kuona mchezaji kumfanya awe bora ndio maana nimekutolea mifano mingi sio kama ulivyotaka wewe
Mkuu sina chuki nae kabisa ananikera anavyokosaga magoal ya wazi, Kai angen'gaa lakini si kwa uingereza jamaa ni mayai mayai, slow, hajui kuficha mpira ila Mzuri kwenye kufanya movement ndani ya box kwenye hapa mbona utamkubali ila linakuja kwenye finish sio clinical finisher kwenya chance 8 atafunga 2Ila mwanangu mna chuki Sana na Kai asee , Mimi naamin katika kipaji chake since yupo Germany, kipind hicho tunasema huyu ndiye mbadala sahihi wa Ozil, wengine wanamfananisha na Thomas Muller ,
Uzuri bado mdogo, soon kipaji chake kitakuwa Unlocked
Mnamsagia Sana kunguni
Kwenye movement ni hatari anafanya SanaMkuu sina chuki nae kabisa ananikera anavyokosaga magoal ya wazi, Kai angen'gaa lakini si kwa uingereza jamaa ni mayai mayai, slow, hajui kuficha mpira ila Mzuri kwenye kufanya movement ndani ya box kwenye hapa mbona utamkubali ila linakuja kwenye finish sio clinical finisher kwenya chance 8 atafunga 2