mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,696
- 19,545
Kwani Brighton wanataka kiasi gani kwa caicedo?Bado nina mtazamo tofauti na wengine, binafsi £100m zilizotumika kwa Rice, zingetumika kwa Caicedo nisingekuwa na la kusema.
Kile chuma ni underrated lakini shughuli yake si ya kitoto
Bei ni hiyo hiyo
Advantage nyingine ni utaifa wa rice
Unajua kwanini magwaya au Shaw lazima waanze pale unyumbuni?
Kila timu lazima iwe na idadi flani ya wazawa on the pitch, and on the squad