Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona kondoo mnajitekenya wenyewe

Tunajua nyie ndio mabingwa wetu wa EPL 2023/2024 dunia nzima inajua mana Arse88 nyie ndio mna kocha mwenye mbinu, makocha wengine hawana. Mna mabeki wanaojua kuzuia timu nyingine hazina, mna mido zinajua kuoffload na kuoverload timu nyingine hakuna.

Kiufupi Taito kontenda ni Arse88 wenyewe,Hivi ikatokea mkakosa ubingwa mchawi anaweza kua nani?
Toka chelkenge ishike 12th na iwe timu yakugombea kushuka daraja ,hata akili zako nazo zimekuwa zakushuka daraja

Akili zako zipo mid table ,haukawahi kuwa sawa
 
Ilibidi asisain kabisa, unajua kabisa nikisain kwenye bargaining za clubs itakua kipengelea

Tena waliokubania, unasain mikataba nao Tena

Msimu ujao tunabeba kwa 50 huyo Wala usiwaze
Ndio maana nasema akili Hana ,sisi weusi tuna shida mahali

Dirisha lilivyofungwa akasain ,bila kuweka release clause akakubaliwa kwa mdomo ataachiwa

Mac Allister yeye aliweka Release clause nyepes
 
Charlie Patino is close to leaving Arsenal. Any deal will include a buy-back clause. Reports,

@ChrisWheatley.
 
Saizi unaonekana sana, ila ligi ikianza na vipigo vya hapa na pale unakimbia.
Uliniona wapi ,wakati msimu mzima ulipotea timu lako lilipokuwa linagombea kushuka daraja ,au mnadhani hatuwajui

Wewe umerudi juzi juzi hapa Ligi kuisha

Wewe si kenge la darajani
 
Hizi pimbi game yao na barca kwani ni lini?? Naona Xavi akiwakea kina Ansu Fati ambao wanakosaga namba pale camp nou lakini bado watawachapa sio chini ya goli 5-0,Hivi UCL mliingiaje,Hivi mmerogwa

Kwako hamis77
 
Kroenke amefurahi kukutana na Arteta

Good job
20230725_044942.jpg
 
Msimu ujao tunagombea wote nafasi 12. Sasa wafunge kamba mikondoo kuwa ni taito kontenda, mkipoteana mchawi itakua wewe.
Arsenal haijawahi kugombea nafasi hizo Wala kushuka daraja toka ianzishwe ,

Wewe subiri had mech ya 5 mtaanza kumjadili pochinene afukuzwe
 
Kufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
Arsenyani mnapenda kujikweza. Huwezi kuwa considered timu nzuri kama hakuna cha maana mnafanya.

Tofauti yenu na United msimu uliopita ni nini hasa? 😂🚮
 
Unaamin ujinga wa huyo jamaa ,Yaan Partey, Zinchenko,Saliba , Martinelli, Magalhaes hawa anawafananisha na kina Anthony, Sancho, bisaka ,dalot , mount

Tukipinga upuuz Kama huu wanakuja juu Nina arrogance
Kwanini hutaki kuheshimu mawazo ya wengine mpaka uite ujinga?

Jamaa hapo juu hakukubaliana na mawazo yangu na akaongeza wachezaji wake, sijampinga huo ni mtazamo wako.

Tatizo lako kubwa hutaki watu wawe tofauti na mawazo yako.

Ni vizuri kupinga jambo bila kutumia maneno yenye ukakasi. Ungeandika tu sentensi yako bila kutumia maneno ujinga/upuuzi bado ingeeleweka tu.
 
naona kondoo mnajitekenya wenyewe

Tunajua nyie ndio mabingwa wetu wa EPL 2023/2024 dunia nzima inajua mana Arse88 nyie ndio mna kocha mwenye mbinu, makocha wengine hawana. Mna mabeki wanaojua kuzuia timu nyingine hazina, mna mido zinajua kuoffload na kuoverload timu nyingine hakuna.

Kiufupi Taito kontenda ni Arse88 wenyewe,Hivi ikatokea mkakosa ubingwa mchawi anaweza kua nani?
Hapo mchawi ni Mc Masingeli tu, domo lake ndio linawafanya misukule wa humu wajione nao wana bonge la timu ila kiuhalisia Arsenyau ni mid table team tu kama Leicester, Brighton, Fulham na Aston Villa.
Hawa wakimbiza mwenge 2022/2023 ilikua ni one season wonder baada ya Giant teams kama vile Chelsea, Liverpool na Man Utd kutetereka kidogo, ila usitegemee msimu huu kuwaona tena kwenye Title contender, hio top4 yenyewe msimu huu hawatoboi.
tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Kwanini hutaki kuheshimu mawazo ya wengine mpaka uite ujinga?

Jamaa hapo juu hakukubaliana na mawazo yangu na akaongeza wachezaji wake, sijampinga huo ni mtazamo wako.

Tatizo lako kubwa hutaki watu wawe tofauti na mawazo yako.

Ni vizuri kupinga jambo bila kutumia maneno yenye ukakasi. Ungeandika tu sentensi yako bila kutumia maneno ujinga/upuuzi bado ingeeleweka tu.

Ujinga ni tusi ,?wapi nimekataa mawazo tofauti na wengine

Yaan nyumbu unataka nikubaliane na ujinga kuwa Anthony masebene,Sancho, wanabisaka ,dalot ni zaidi ya Zinny, white, Martinelli, Magalhaes,

Tafuta wakutaka akubaliane na huo ujinga

Ujinga sio tusi
 
Back
Top Bottom