Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mfano ligi ingekua inaanza kesho kisha mid yetu ingekua ni Rice, Martin na Kai ingekua ni disaster.

Waweza argue kwamba mbona Rodri, Silva na De Bruyne wanacheza hivyo pale City na utakua sahihi.

Ishu ni kwamba iliwachukua muda gani? Phillips mpaka leo hapati namba kwakua hawezi leta anacholeta Rodri.

Hapa ndiyo tulisema Partey akiuzwa kisa Rice yupo tunarudi steps nyuma, na ndipo nikasema akija Zubimendi kwa jinsi tunavyocheza ataclick mapema ila akija Rice itabidi azoee.

So once hii mid ikigain momentum tutaifurahia na wengine wataanza kutuquote na kutuambia sisi tulisema
Upo sahihi ndio maana ili ipate momentum inahitaji muda

Thus why Partey hawez kuondoka , ili wacheze na Rice

Mwisho Sources za mashabiliz ya Arsenal huwa yanaanzia sehemu mbili kwa Zinchenko na Partey ,

Mchango wa Jesus ni very underrated ,he can create chaos in our team, anasaidia midfield zone kwa kiwango kikubwa
 
Kuna mtu anampinga Jesus humu? Atakua haangalii mechi anasubiri aangalie matokeo Fotmob
 
Kati ya Martin na Kai mmoja wapo inabidi akubali kuongeza uwezo wa kudefend, so awe anajua kutrack, tackling both sliding na standing na awe na pumzi ya kupanda na kushuka.

Na kila tukiangalia hapo ambaye anaweza yote hayo atakua Martin, Kai sijawahi ona kama ana uwezo huo.

Anyway, mtandaoni kuna troll nimeiona nimnecheka

"Arsenal bought Rice and Timber but it is Man United who is cooking"
Ødegaard alifika alikuwa anasemwa ni legelege na lain Sana ,alikuwa the same to Kai

Mimi kwasasa ningependa kuona Kai akiingia taratibu kwa kikos ,au pia tukicheza 4-4-2 asimame pale mbele na Jesus ,Kama ilivyokuwaga Henry na bergkamp

Kai acheze Kama Second Striker
 
Kuna mtu anampinga Jesus humu? Atakua haangalii mechi anasubiri aangalie matokeo Fotmob
Jesus amekuwa underrated Sana

Midfield ya Arsenal huwa naamini inakuwa hatari akiwepo Partey na Zinchenko hapo kina Øde,saka , Martinelli wanakuwa Wanapata mipira kila wakati

Kocha Sasa anataka awe ana invert both sides kwa timber na Zinny
 
Arsenal wanafanya mazungumzo na Kudus

Thus why I think Chelsea wamehamia kwa Olise

This window ,Edu is undefeated
 
Chanzo Sport extra

Aliyewaita nyumbu hakukosea

Yaani mechi za majaribio mshaona mna timu ya ubingwa

Sancho ni

Anthony masebene ni best RW

Sasa hivi kelele za Grazzer out hatuzisikia ,na Grazzer family wanavyojua kucheza na akili zenu timu haiuzwi Tena

Mkija kushtuka Sancho ana goli 3 msimu mzima , Anthony masebene goli 5

Mnaanza kuimba Grazzer out
Wewe unadhani hiyo ni sport extra ya Dauda ? hata hivyo picha hauoni ?

Watu wamechoka False hopes huyo aliyepigwa atakuwa kama wewe sasa wenzake wamechoka kufanywa makondoo akaamua ampe kipondo..
IMG_20230723_224403.jpg
 
Wewe unadhani hiyo ni sport extra ya Dauda ? hata hivyo picha hauoni ?

Watu wamechoka False hopes huyo aliyepigwa atakuwa kama wewe sasa wenzake wamechoka kufanywa makondoo akaamua ampe kipondo..View attachment 2697473
Yaan umekaa unaleta udaku ,

Hii itaisaidia manjesta kutwaa ubingwa ?

Aliyewaita nyumbu hakukosea , ndio maana Graza wanacheza na akili zenu Sasa hivi wata buy time mkidanganyika mna timu Bora
 
Mikel Arteta asks the #Arsenal fans to have patience with our new signings:

"When they play 55 times together, it will be better, it will flow better, they will understand each other better and we will be more dominant. But things take time to glide and we have to respect that."
 
Mnataka muwe mnapigwa nyie wenyewe kila siku? kupigwa kwa zamu mkuu
Sisi hiki kitu atutaki kwa msimu huu ndo maana tunaogopa kusajili kwa pesa kubwa hadi sasa tumesajili wachezaji sio kwa pesa kubwa na tupo kwenye mazungumzo na Brighton kutupunguzia bei ya Caicedo
 
Sisi hiki kitu atutaki kwa msimu huu ndo maana tunaogopa kusajili kwa pesa kubwa hadi sasa tumesajili wachezaji sio kwa pesa kubwa na tupo kwenye mazungumzo na Brighton kutupunguzia bei ya Caicedo
Hamtaki au hamna hela?

Kwahiyo Mudryk mlinunua kwa bei poa eeh...

Nyie hamna transfer policy mkuu , hamna vision! hata hamjui nafasi gan hamna mchezaji.

Mkisikia tetesi Arsenal inataka kusajili ndo mnaanza kujiuliza , hee mbona huyu mchezaji mzuri afu bei poa? si atatufaa basi mnaingia jumla, hata hamjui mtamtumiaje.

Kocha ana yake, tajiri ana yake, yaani vurumai tu
 
Mkuu ushasahau kwamba Chelsea ndio team iliyoingiza pesa nyingi hadi sasa kuliko team yoyote pale epl kwa kuuza wachezaji wengi tumepata more than 300M paund tumeuza kai,Mount,kovacic,Pulisic,Kante,koulibaly,Ruben Loftus cheek, edourd Mendy na Auba na bado tuna mpango wakuwauza Lukaku,Ziyech,odoi so tutapata tena hela nyingi so kwenye pesa hatuna shida mkuu
 
Hatujakataa ila inabidi u invert new style of football analysis achana na majigambo yakupitiliza uwe unasema positive in a place to be said na negative sehemu sahihi why...???

1 inasaidia mtu kuona a true progress kwenye phase ya build up na sio tu kusema positive in a awful moment unakosea mpira ni mchezo wa makosa anae kosea inabidi awe criticized na anae patia apewe credit

2 embu pitia thread zengine jinsi hard die fans wake wanavo isifia na kui criticize team na form unatoka umejifunza jambo sasa kwanini iwe ni wewe humu hamiss wanakuimba..because we unachojua ni mnafanya best and mnatisha una aminisha umma wa humu mko na best team in the world ukija na evidence zako
(i) mko na team with the highest value na under age of 24-26 ukifikiri value na age ndio zinacheza vali ni ambitions quality na experience
(ii) una lilia personal mistake za wachezaji wenu zime wanyima ushindi... Remind you mpira mchezo wamakosa the same mistakes ndizo zilizo wakosesha ubingwa na ukizibeza eti ni personal mistake tu bro uefa kunawakatili uko just imagine mbappe yupo real na kane katua hapo bayern then kundi lenu ya uefa group liwe arsenal real bayern napoli au benfica ...tuseme ukweli hapo
(iii) unajificha kwenye build ya formation na team selection ukisema kwa mid ya kai ode rice au rice partey ode hapa amna team italeta team yake uwanjani japo kadri muda unavozidi kwenda tunaona kabisa hapo kati partey akiondoka ni uchochoro na tobo zito uwezi mtegemea rice kama lone dm ni ubakaji hapo kwenye kipa na beki sigusi maana....!!!

Lastly arsenal sio kwamba ni timu tushio hivo kusema kuna watu wataiogopa
Mark my words mi naona hawa wata challenge ubingwa msimu huu zaidi Liverpool man utd chealse pia na arsenal ila hao niliowataja hapo mwanzo usiwachukulie poa poa kaka

Less zaidi ya hapo ni man city anakuja kuji bebea tena ELP
Hapa kwenye jukwaa letu la Arsenyau ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu, Jukwaa linaendeshwa kidikteta hili sijapata kuona, humu hamna uhuru wa kukosoa.
Ukimkosoa Arteta, mchezaji au Masingeli utaonekana ni mamluki au Mhaini, utashambuliwa na kupewa kila aina ya majina mabaya.
Atachosema Masingeli humu ndio alfa na Omega, ukimkosoa unapigwa marufuku hadi kumquote

#Poor Arsenyo
 
Mkuu ushasahau kwamba Chelsea ndio team iliyoingiza pesa nyingi hadi sasa kuliko team yoyote pale epl kwa kuuza wachezaji wengi tumepata more than 300M paund tumeuza kai,Mount,kovacic,Pulisic,Kante,koulibaly,Ruben Loftus cheek, edourd Mendy na Auba na bado tuna mpango wakuwauza Lukaku,Ziyech,odoi so tutapata tena hela nyingi so kwenye pesa hatuna shida mkuu
Mpaka wewe unauzwa mkuu 🫣🫣
 
Hapa kwenye jukwaa letu la Arsenyau ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu, Jukwaa linaendeshwa kidikteta hili sijapata kuona, humu hamna uhuru wa kukosoa.
Ukimkosoa Arteta, mchezaji au Masingeli utaonekana ni mamluki au Mhaini, utashambuliwa na kupewa kila aina ya majina mabaya.
Atachosema Masingeli humu ndio alfa na Omega, ukimkosoa unapigwa marufuku hadi kumquote

#Poor Arsenyo
Nyumbu hamjawahi kuwa na akili ,tutawapiga spana mpaka muwelewe

Mamluki wote Kaz mnayo ,

Hakuna anayezuiwa kukosoa ,ila wanafiki lazima wale spana , halafu siku hiz spana nimeacha ,

Yaan unawasapot wanafiki unasema wanazuiwa kukosoa ,mtu kasema kahama Arsenal kahamia PSG mwingine Newcastle,

Timu ikishinda huwaoni wakitoa positive , walisema arsenal hautaingia top 6

Tukifungwa ndio wanaonekana

Why wanafiki Kama Hawa wasipingwe

Ngoja nianze kuwa napiga spana ,niliacha ila Sasa nataka kupambana na wanafiki
 
Back
Top Bottom