Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Teamnewsandix-Tier 1

I have no idea if this Olise story is true

But wonder if this could of happened because Kudus has been speaking to someone else for months and months now ...
 
Club is very keen on Kudus. Let’s see what happens. There’s dialogue with all parties now.
 
Arsenal have been in constant dialogue with Ajax midfielder Mohammed Kudus for months, as per

@Teamnewsandtix-Tier 1

Bid is expected to arrive soon after a couple player sales.
20230723_204813.jpg
 
Arteta kuhusu Rice, Havertz, na utatu wa Ødegaard:

“Wanapocheza pamoja mara 55, itakuwa bora zaidi, timu itatiririka vizuri zaidi, wataelewana zaidi na sisi tutatawala zaidi. Lakini mambo huchukua muda.”

(@kayakaynak97)
 
Emile Smith Rowe on last season:

“It was really tough, obviously I had surgery twice, but my family helped me. The club as well, helped me a lot to get through it & I’m just really happy to be pain free right now. I don’t feel nothing there anymore & I’m happy I’m fully fit now.”
 
Siokweli kwamba tulimu underestimate,

Kwann hamtaki kuelewa maana ya pre season

Huon kwamba kupitia mchezo Kama ule kocha anapata best combination ipi yakutembea nayo kwenye Ligi na UCL

Wachezaji Kama Martinelli ,Tomiyasu wametoka injury ,kucheza michezo Kama ile wanarudisha fitness

3 new players ambao hawajawahi kucheza pamoja ,wanacheza katika system mpya ,ndio sehemu yakusomana na wenzao
Hatujakataa ila inabidi u invert new style of football analysis achana na majigambo yakupitiliza uwe unasema positive in a place to be said na negative sehemu sahihi why...???

1 inasaidia mtu kuona a true progress kwenye phase ya build up na sio tu kusema positive in a awful moment unakosea mpira ni mchezo wa makosa anae kosea inabidi awe criticized na anae patia apewe credit

2 embu pitia thread zengine jinsi hard die fans wake wanavo isifia na kui criticize team na form unatoka umejifunza jambo sasa kwanini iwe ni wewe humu hamiss wanakuimba..because we unachojua ni mnafanya best and mnatisha una aminisha umma wa humu mko na best team in the world ukija na evidence zako
(i) mko na team with the highest value na under age of 24-26 ukifikiri value na age ndio zinacheza vali ni ambitions quality na experience
(ii) una lilia personal mistake za wachezaji wenu zime wanyima ushindi... Remind you mpira mchezo wamakosa the same mistakes ndizo zilizo wakosesha ubingwa na ukizibeza eti ni personal mistake tu bro uefa kunawakatili uko just imagine mbappe yupo real na kane katua hapo bayern then kundi lenu ya uefa group liwe arsenal real bayern napoli au benfica ...tuseme ukweli hapo
(iii) unajificha kwenye build ya formation na team selection ukisema kwa mid ya kai ode rice au rice partey ode hapa amna team italeta team yake uwanjani japo kadri muda unavozidi kwenda tunaona kabisa hapo kati partey akiondoka ni uchochoro na tobo zito uwezi mtegemea rice kama lone dm ni ubakaji hapo kwenye kipa na beki sigusi maana....!!!

Lastly arsenal sio kwamba ni timu tushio hivo kusema kuna watu wataiogopa
Mark my words mi naona hawa wata challenge ubingwa msimu huu zaidi Liverpool man utd chealse pia na arsenal ila hao niliowataja hapo mwanzo usiwachukulie poa poa kaka

Less zaidi ya hapo ni man city anakuja kuji bebea tena ELP
 
Yaan unanipangia jinsi yakujadili na kuelezea timu ninayoishabikia , una akili kweli wewe ?

Hizo hoja zako ukizoweka hapo inaonesha how una chuki ,yaan unaumia kuchambua how to play ,how squad yetu inaongoza kwa kuwa value kubwa

Kama unakereka kaa kimya ,kwanza sijawahi kukuona Tukishinda ,tumefungwa ndio unakuja na gazeti ,acha unafiki
 
Emile Smith Rowe -

"I am feeling good, it’s good to be back with the boys, back on the pitch with my team-mates."

"My ambition is to get some more minutes this season and really push on."

"Last year was really hard for me, so I just want to kick on now and prove that I can play for this club."

(independent )

independent.co.uk/sport/football…
 
“Arsenal have a decent working relationship with Ajax after what they did with Timber, which might help them in that regard. And it seems like Kudus is quite open to a move."

“He [Kudus] is definitely a player that they like. I’ve seen the recent reports that they’re potentially looking to step up that interest a bit later on in the window, which wouldn’t surprise me if that is the case."

“I still think they’re probably looking at adding at least one more player before the deadline and Kudus ticks a lot of boxes in terms of what they would look to bring in. He can cover on that right-hand side of the attack, which is absolutely a priority for Arsenal. He’s versatile, which is, again, an absolute must if you’re going to sign for Arsenal nowadays under Mikel Arteta."

“He’s in the exact age range that they want to look to bring players in. So he ticks all of those boxes."

- @charles_watts via teamtalk

teamtalk.com/arsenal/exclus…
 
Haya bana si wanafk ngoja tukae kimya

Ila ujumbe ndio huo mkuu hamiss mpira sio vita
Wewe ni mnafiki kwanza sijawahi kukuona Tukishinda ,tumefungwa ndio unakuja na essay, ,why nyie wanafiki mnaonekana timu ikifungwa tu, mbona ikishinda hata mech 7 mfululizo hamuonekani ,yaan unataka kunipangia how to analyse football ,

Tukagawane majukumu wewe Kaz yako iwe kuponda Mimi kusifia timu yangu

I know this game
 
Arteta kuhusu Rice, Havertz, na utatu wa Ødegaard:

“Wanapocheza pamoja mara 55, itakuwa bora zaidi, timu itatiririka vizuri zaidi, wataelewana zaidi na sisi tutatawala zaidi. Lakini mambo huchukua muda.”

(@kayakaynak97)
Wenger orphans saizi mmefika huku kuwa mambo uchukua muda
 
Emile Smith Rowe on last season:

“It was really tough, obviously I had surgery twice, but my family helped me. The club as well, helped me a lot to get through it & I’m just really happy to be pain free right now. I don’t feel nothing there anymore & I’m happy I’m fully fit now.”
Rowe ni right backup ya odegard

Rowe namuona atakujq kuwa hatari zaidi, ukiangalia touches na mikimbio yake, unajua Kama huyu ni mchezaji
Amerudi na energy kubwa sana
 
Emile Smith Rowe on competition for places:

“I’m at a big club like Arsenal - if I didn’t have competition, there would be no point. I have to push myself every day in training & keep working hard & keep believing in myself. It’s tough competition but it’s good at the same time.”
 
Sio JF tu kutukanana na fujo hadi ulaya tabia zao zilezile ,ona yametwangana.....View attachment 2697340
View attachment 2697341

Flano unasemaga kweli kuhusu hawa jamaa.
Chanzo Sport extra

Aliyewaita nyumbu hakukosea

Yaani mechi za majaribio mshaona mna timu ya ubingwa

Sancho ni

Anthony masebene ni best RW

Sasa hivi kelele za Grazzer out hatuzisikia ,na Grazzer family wanavyojua kucheza na akili zenu timu haiuzwi Tena

Mkija kushtuka Sancho ana goli 3 msimu mzima , Anthony masebene goli 5

Mnaanza kuimba Grazzer out
 
Mfano ligi ingekua inaanza kesho kisha mid yetu ingekua ni Rice, Martin na Kai ingekua ni disaster.

Waweza argue kwamba mbona Rodri, Silva na De Bruyne wanacheza hivyo pale City na utakua sahihi.

Ishu ni kwamba iliwachukua muda gani? Phillips mpaka leo hapati namba kwakua hawezi leta anacholeta Rodri.

Hapa ndiyo tulisema Partey akiuzwa kisa Rice yupo tunarudi steps nyuma, na ndipo nikasema akija Zubimendi kwa jinsi tunavyocheza ataclick mapema ila akija Rice itabidi azoee.

So once hii mid ikigain momentum tutaifurahia na wengine wataanza kutuquote na kutuambia sisi tulisema
 
Kati ya Martin na Kai mmoja wapo inabidi akubali kuongeza uwezo wa kudefend, so awe anajua kutrack, tackling both sliding na standing na awe na pumzi ya kupanda na kushuka.

Na kila tukiangalia hapo ambaye anaweza yote hayo atakua Martin, Kai sijawahi ona kama ana uwezo huo.

Anyway, mtandaoni kuna troll nimeiona nimecheka

"Arsenal bought Rice and Timber but it is Man United who is cooking"
 
Back
Top Bottom