Sasa Flano hao jamaa Wana tofaut gan na weweHumu ndani ni computerarsenal tu na Labyrinth 84 peke yao ndio nyeupe husema nyeupe na nyeusi huiita nyeusi, ila wengine waliobaki wote nasubiri kwanza waone Mc Masingeli kasema nini halafu na wao wanashikilia mulemule alipokamatia Masingeli, humu ukienda kinyume tu na Masingeli unatishiwa mpaka maisha halafu unapigwa marufuku kumqoute[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii itakua mihadarati tu si kingine.Unatumiaga kilevi gani?
Sio kweli ,kwa vile mlishinda mtaongea chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila jana kinda la Academy Mainoo limekamata kiungo chote na kukiweka mfukoni, sijategemea jana jinsi sahani ghali ya ubwabwa duniani ya £105m kufichwa namna ile na katoto ka nursery.
Halafu nyie huwa pre season huwa mnashindaga mech zote ,hata martial mnasemaga ni Thierry Henry[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila jana kinda la Academy Mainoo limekamata kiungo chote na kukiweka mfukoni, sijategemea jana jinsi sahani ghali ya ubwabwa duniani ya £105m kufichwa namna ile na katoto ka nursery.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Masingeli unajua sana kuwafurahisha misukule ya Arteta kwa kweli kwa hizo false hopes zako.Sasa Flano hao jamaa Wana tofaut gan na wewe
Wote walitangaza wamehama Arsenal ,mmoja PSG mwingine Newcastle
Ni mpuuz tu ndiye atawasikiliza Kama Arsenal fans
Hao na wewe lao moja ,kuponda Basi
Kiufundi Jana Kocha alikuwa anaangalia combination ya New Signing Wana copy vipi na wachezaji wasiku zote
Hilo jambo linaenda taratibu ,Sasa nyie danganyaneni mna timu ya ubingwa
Flano wewe ni mwehu kinoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Masingeli unajua sana kuwafurahisha misukule ya Arteta kwa kweli kwa hizo false hopes zako.
Kikubwa sasa hivi nimefurahi jinsi unavyoanza kua matured, nilitegemea kwa kipigo cha jana wiki nzima hii utajipiga Ban mwenyewe.
Huu sasa ndio uanaume, kwenye shida na raha unasimama bega kwa bega na misukule wenzako, sio vile we unafanya kuwanao kwenye sherehe halafu unawakimbia kipindi cha maombolezo.
Yah waambiwe hivo wafurahieManyumbu timu yenu imekamilika, ready for EPL na UCL.
Sancho anasimama CF, anasubiri ALABA, DIAZ au UPAMECANO afanye mistake ili ashinde.
Midfield mpo poa sanaaaaa, yule dogo wa jana anatosha plus makfledi.
Positive review kwenye mechi ya jana
Kama ulilijua ilo kwanini ulikubali kufanya prediction na mimi tena ukaweza ya goal 4 kwa bila mtazo tuchabanga[emoji1787][emoji1787]Bado huna timu yakuchukua point hata 1, bado mna mpira ule ule wakuvizia
Jana tulikuwa tunatafuta chemistry ya wachezaji wetu watatu wapya ,
Tunajua nyie mlikamia hata kocha wenu alisema , tunaona mnataka kuvunja saka ,ode
Magwaya sijui anataka kurudisha namba yake [emoji1787]
Sawasawa wapi Jacklin wolper mbona umepotea..Ni Kwa Vile Tu Sheria Za Kukimbia Mechi Ni Kali.
Manchesta Leo Wangetukimbia Wasingekuja Uwanjani.Siyo Kwa Arsenal Hii Braza Hakuna Kocha Anayetamani Kukutana Na Arsenal..!View attachment 2695876
Kwaiyo vipi ubavu mmeupima au bado[emoji1787][emoji1787]Aliyekwambia ni Friend mech Nani?
Leteni timu iliyokamilika tupimane ubavu kenge nyie
3+7 Hag on Manchester United’s “friendly” against Arsenal [emoji116]
“We don’t play friendly games.” [emoji23]
Arsenal vs manjesta
hata iwe chandimu hamna Friendly matches lazima tuuane
Hawa kesho ni kupiga za kutosha
Ni Kwa Vile Tu Sheria Za Kukimbia Mechi Ni Kali.
Manchesta Leo Wangetukimbia Wasingekuja Uwanjani.Siyo Kwa Arsenal Hii Braza Hakuna Kocha Anayetamani Kukutana Na Arsenal..!View attachment 2695876
Leo msilete timu uwanjan
Aliyekwambia ni Friend mech Nani?
Leteni timu iliyokamilika tupimane ubavu kenge nyie
3+7 Hag on Manchester United’s “friendly” against Arsenal [emoji116]
“We don’t play friendly games.” [emoji23]
Muhind kawapa odd ngapi leo
Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog
Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog
Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari
Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
Historia haitasaidia leo kukwepa kipigo [emoji1787]
Kwasasa mnaingia Kama undrrdog
Mimi yangu
Manjesta 0 Arsenal 4
Sio mahaba ,mwenzio Chelsea tulimkaanga 4-0 mwaka Jana kipindi Cha kwanza tu
Yaani Tena hizo 4 nimeweka ni minimum sitashangaa zikifika 5[emoji1787]
Manjesta timu yenu hii ya kina mount View attachment 2696112
Sijapenda vile Masebene jana hajafunga, ila Rashidi nae ule mgoli wa wazi alioukosa sijui alikua ashaingiwa na roho ya huruma?Hakuna Raha Kama kuwafunga manjesta
Na msimu huu mtatuchangia points 6 ,
Leo Kuna 4-0 [emoji1787]
Muhind kawaweka Kama underdog asee
Hivi possession ilikuwa ngapi vile mkuu.[emoji1787]Tunachangamsha tu ,
Ukweli nafas ya nyie kushinda ni finyu Sana ,mkishinda itakuwa habari
Ila Arsenal akishinda haitakuwa habari
KUNA UWEZEKANO ARTETA AKAPELEKWA JELA
Siku akianzisha Partey DM , Juu yake Ødegaard na Rice , kwenye Beki pembeni Timber na Zinchenko
Maana yake hapo Kati unakutana na mziki wa Partey Ødegaard,Rice , Zinchenko ,Timber wote mafundi wote wanakaa na mpira
Hapo possession ni 90%
Pass 800+
Goals anakufunga yoyote
Mkishinda au draw itakuwa habari ,Tukishinda haitakuwa habariView attachment 2695916
Usishangae ulitubetia mkuu upo zako unakunywa supu umewaponza wenzio kuwapa matumaini hewa.[emoji1787][emoji1787]Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog
Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog
Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari
Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
Mkuu umeamka kwenye ndoto yako[emoji849]Mimi yangu
Manjesta 0 Arsenal 4
Kunywa kwanza maji mkuu taratibu.Manyumbu timu yenu imekamilika, ready for EPL na UCL.
Sancho anasimama CF, anasubiri ALABA, DIAZ au UPAMECANO afanye mistake ili ashinde.
Midfield mpo poa sanaaaaa, yule dogo wa jana anatosha plus makfledi.
Positive review kwenye mechi ya jana
So unataka kusema kulose 2 goals kwa Manchester United ni jambo la kawaida sababu ni pre season? hamis77 kubaliana na ukweli kuwa tumefungwa kihalali na penalties pia tumepigwa team haina kiwango cha kucompete kama unavyonenaga next game vs Barcelona na kuna Manchester City games hizi ni games za kuona tunaendaje kuanza msimu,mimi napenda sana games za kujipima vs Giants hapo ndipo utajua if we are ready or not na yesterday game ni kipimo halisi cha ubora wetu ,tumefungwa 2 na still penalties tumepigwa piaYaan ukifungwa pre season bas kwa Ligi ndio Basi ? Pre season ni sehemu ya ku implement mifumo, kutafuta fitness ,kuwapa nafas sajili mpya wajuane
2018 Liverpool hakushinda mech hata moja ya pre season ,kwenye EPL alifungwa mech 1 tu ,
Mech Kama ya Jana pale kocha anatoka na kitu anajua Nan na Nan wakianza kunatokea positive ,