Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kubali team yetu ina kelele za mtandaoni but in general kwa football we are poor daily
Ni mtazamo wako na ni haki yako.unajua kwanini mechi kama ya leo ni muhimu?.kuna mengi ya kujifunza kuliko matokeo.
Kumbuka.IF YOU NEED TO BE A HERO BE A MAN FIRST
 
Kushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi.
Give credit where it is due. Shida yako ni kwamba hutaki ku acknowledged hatua ambazo Man u imepiga.
Mkuu upo sahihi
Aya hii second half nyumbu bado wameishika game

Magwaya ata Kama anatafuta namba daah
 
Mpira umeisha nyumbu wanatamani kushangilia, Ila wanagundua kumbe ni friendly tu
 
Back
Top Bottom