Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

haitakuwa habari Tukishinda

Ila itakuwa breaking news mkishinda
Masebene kwa jinsi unavyomnanga ana hasira sana na nyie, leo zile curve zake kama hajazamisha wavuni 2 basi itakua 3.
Kikubwa kesho uwepo tu humu, tunakuomba mapema kabisa usitukimbie humu jukwaani kwa mechi tu kirafiki.
 
Casemiro na Martinez
Casemiro hawez kucheza lone DM kwa timu zinazotaka ku possess ,Madrid pale wanacheza chini kuchukua mipira ni Kross na modric ,sababu casemiro sio passed mzuri ,ila ni mkabaji mzuri ndio maana kacheza mech kadhaa EPL ana kad za njano na nyekundu zakutosha

Sasa kwa Timu Kama Arsenal ,mancity ,Barcelona viungo Kama hao hawachezi ,thus why siwez muweka over Partey , sio kiungo mbaya ila kwa morden football lazima utafute njia mbadala Kama alivyotumika Madrid

Lisandro Martinez sio mbaya lakin namuondoaje Magalhaes ,mchezaji aliyecheza mechi 38 zote za EPL , consistency ya Hali ya juu
 
Masebene kwa jinsi unavyomnanga ana hasira sana na nyie, leo zile curve zake kama hajazamisha wavuni 2 basi itakua 3.
Kikubwa kesho uwepo tu humu, tunakuomba mapema kabisa usitukimbie humu jukwaani kwa mechi tu kirafiki.
Mm nipo ila mkishinda nitawaacha kwanza mtoe matusi yenu kwanza maana Sasa hivi mmejificha mnasubiri mshinde

Wewe tu ndio huwa una roho ya paka
 
Mm nipo ila mkishinda nitawaacha kwanza mtoe matusi yenu kwanza maana Sasa hivi mmejificha mnasubiri mshinde

Wewe tu ndio huwa una roho ya paka
Mashabiki wa Man Utd karibia wote ni wastaraabu na wanajilewa.
Ukitaka matusi yapo humu banaaahhh, hili jukwaa lenu ndio linaongoza kwa matusi, kila msimu hua linashinda medali ya dhahabu kwenye tuzo za matusi.
 
Shida yako wewe ni mchocheaji mkubwa wa watukanaji humu

Sio kwamba mm nakimbia no, wakija watukanaji , nakaa kimya wapite ,
 
Muda kaka haufiki ivi..Natamani nione MM anavyonipikia watu leo kina Joginyo na Basmat Rice na Gabriel
 
3424471-985379829.jpg
 
Gabriel Martinelli:

“It was difficult to miss the last two games of the season. Then I went to the [summer] break & tried to recover as soon as possible. That’s what I did. I am fully back now & confident to start the new season, ready to go again.” [Mirror] #afc
20230720_053553.jpg
 
Shida yako wewe ni mchocheaji mkubwa wa watukanaji humu

Sio kwamba mm nakimbia no, wakija watukanaji , nakaa kimya wapite ,
sio kweli Mkuu, mara nyingi mimi hua nawakemea humu hata pale mnapoanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe.
Wewe Masingeli roho yako tu ni nyepesi, kila mnapochezea kipigo lazima ule kona hata usisingizie matusi.
Kila ukifikiria jinsi unavyoiaminisha misukule ya humu kua Arsenyo hii ya Arteta ni zaidi Barcelona na Madrid nafsi inakusuta unaamua kujipiga ban tu mwenyewe.
 
Duh wewe jamaa bhana

Na log off
 
Napewa taarifa baada ya Arteta kurusha jezi waliodaka ndio Hawa na ndio wataanza

Wengine wataingia 2nd half

AFC starting XI vs Man U - Ramsdale; Timber, Saliba, Gabriel, Tomiyasu; Rice, Havertz, Odegaard; Saka, Nketiah, Martinelli.

Chance to see all 3 new signings start for the first time!
View attachment 2696471
 
4-3-3

Possess kwa 3-2-5

Saliba Magalhaes Tomiyasu

Timber Rice

Saka ode nketiah Kai Martinelli
20230722_225208.jpg
 
Back
Top Bottom