Hawa jamaa ni wehu, wAkianza kupanga timu, kiungo kinakua inverted😂 na beki wa pembeni wanakuja kuoverload kiungo😂, halafu viungo wao ni press resistance, viungo wa mbele wana interchange play😂 ........Tupo hapa kuwakumbusha mzee ila tunaumia nyinyi kuwa na matumaini bandia si unajua tena ndugu zetu wa kenya walishajinyonga wengi tu kisa matumaini bandia ya arsenal.
Kuhusu kuumia kisa arsenal huo ni uongo, kukimbia huko ndipo tunapoumia coz mtakuwa hamjapenda kukimbia vichapo ndo vimewakimbiza.
Ni furaha sana hizi hadithi za alfa ulela kuzisikia ndo maana unatuona kutwa tupo hapa kucheka na kushangaa
Nimependa jina la id yako Arsenal 2004the last time Arsenal kashinda epl miaka 19 nyuma hata halland, martinelli, saliba , saka walikua hawajuii mpira ni nini ila now halland ana epl still mpo na matumaini ya epl
Huyo jamaa narudia ni mnafiki ,yaan yupo kukebehi ,amejitanabaisha amehama Arsenal ,ok fine move on
Kuna jamaa mmoja humu aliwahi sema amehamia PSG akakebehi Sana akisema hata top 6 hatutaingia ,ndio kipind Arteta anajenga timu , deadwoods kibao , tulipambana Sana ,Arsenal ilipoanza kukaa sawa kichezaji ,hataki tena kuambiwa yeye ni mshabiki wa PSG,
Sasa unafiki Kama huu sio mzuri
Unaiamin Newcastle ,ni Bora na itagombea ubingwa , ok Fine ,Kuna jukwaa lipo lilifungiliwaga na shabiki mmoja mnafiki wa Liverpool kipind klopp anafika ,baadae akalitelekeza akarudi Liverpool
Unafiki wa hivi lazima tuukemee


kwa kipi sasa kushika nafasi ya pili au kucheza uefa
, ona hapo arteta anasambaza false hopeMwaka jana ndo tulikuwa tumeonekana walau tume challenge...miaka mingine yte usingeweza kukaa na kusema arsenal anagombania ubingwa...it was all about top 4...Sasa kama mwaka jana tuli slip up mwishoni na kipindi hiki tumesajili watu ambao tunaona wanaweza kutu push zaidi kuna Ubaya kusema tunagombani ubingwa tena na kuamini tunaweza kushinda....Liverpool amen challenge City miaka ya hivi karibuni kaishia kupata kombe mara moja tu...City kabeba mara tatu mfululizo...Sasa na sisi kuona namna mwenendo unavyoenda na watu tulonao tunaona kabisa uwezekano upo...hvyo hzo prediction za sijui September mara January mtabaki nazo sana msimu huu....tukikaa pale juu safari hii msahau ndugu zetu

sometimes unahitaji only one man for the team kupata ubingwa, yani pale timu inapoonekana imechoka , uliona alichofanya gundo kaamua mechi kadhaa za city wakati hayo yanatokea ndugu yangu partey alikua kajichokea mwenzake xhaka anagombana na vitoto kina trent.Acha unafiki , mbona unaumia Sana kuhusu Arsenal kijanaMbona mimi nisha move on kijana kitambo sana toka mechi ile ya Brighton mnakula vyuma 3 tena emirates nikaona hizi false hope sio.
Unafiki sio mzuri kabisa hilo nakubaliana na wewe ila hujajua unafiki ni nini, mimi hapo unafiki wangu ni upo kusema arsenal haiwezii kuchukua ubingwa ? Mbona mifano halisi ipo ukitaka ushahidi tunaleta au kusema arsenal ni false hope, hili nalo unahitaji ushahidi
Unafiki ni kujigamba kuwa ooh city anaenda kufa pale pale etihad au Liverpool wazee tunawapiga si chini ya goli 3 then timu inazingua, watu wanakutafuta japo uwachambulie kimetokea nini lakini mwenzetu unaenda mafichoni kujificha huo ndo unafiki na sisi lazima tuukemee vile vile.
Jukwaaa la Newcastle game zikianza lazima tulifufue hatuwezi kulifufua saivi game hazijaanza si unajua kule kuna watu wazima huwezi wadanganya kitoto pia tunataka tuongee kwa vitendo View attachment 2695681
Tukisema false hope tunakosea wanangu? Halafu kweli hamis unasema tunawaonea wivukwa kipi sasa kushika nafasi ya pili au kucheza uefa
, ona hapo arteta anasambaza false hope
PSG consider Mbappe for sale starting from today (@FabrizioRomano).
Arsenal would be Mbappe's No.1 choice if he were to come to the PL (independent). #afc




tunatoka kukemea false hope lakini wewe unaziletaAcha kujichekesha Kama mwanamke ,thus why nilikwambia usiwe una ni quote ,ila husikiitunatoka kukemea false hope lakini wewe unazileta
Acha unafiki , mbona unaumia Sana kuhusu Arsenal kijana
Unafiki ni mbaya
Acha kujichekesha Kama mwanamke ,thus why nilikwambia usiwe una ni quote ,ila husikii
Au Kuna lingine?
Why huwa unawashwa when u see my comments?
Nyie ndio mnafanya vijana waliotok poor family wakifanikiwa walowee mjini wakirud vijijini mnaamini uwezo wao haujawafanya wafanikiwe acha roho za kichawi hata mancity kachukua uefa mbele y vigogo wakubwa zaid yake kwa sasa huwez taja title contender wa epl bila kuitaja gunners zingine ni roho za kichawi tu tema mate chini nyoosha mikono juu mwanbie mungu mimi ni mchawi naomba niokoeView attachment 2695707
View attachment 2695708
View attachment 2695709
View attachment 2695710
View attachment 2695711
Mshikaji wenu “ win” huyo arteta akamleta akadhani ndo mtashinda ligi , picha za juu hizo ni different players but the same arsenal common thing hapo ni vilio tu kuanzia kwa kocha as player mpaka kwa nwaeri youngest player
Mods ikifika april kama sitaleta picha kama hii tena nipigwe ban nakuomba hamis na wewe ulite picha ya hata arsenal kanyanyua kikombe cha chai tu


Nyie ndio mnafanya vijana waliotok poor family wakifanikiwa walowee mjini wakirud vijijini mnaamini uwezo wao haujawafanya wafanikiwe acha roho za kichawi hata mancity kachukua uefa mbele y vigogo wakubwa zaid yake kwa sasa huwez taja title contender wa epl bila kuitaja gunners zingine ni roho za kichawi tu tema mate chini nyoosha mikono juu mwanbie mungu mimi ni mchawi naomba niokoe![]()
, mtafuteni kwanza mchawi wa arsenal wala sio mimi. Nyie ndio mnafanya vijana waliotok poor family wakifanikiwa walowee mjini wakirud vijijini mnaamini uwezo wao haujawafanya wafanikiwe acha roho za kichawi hata mancity kachukua uefa mbele y vigogo wakubwa zaid yake kwa sasa huwez taja title contender wa epl bila kuitaja gunners zingine ni roho za kichawi tu tema mate chini nyoosha mikono juu mwanbie mungu mimi ni mchawi naomba niokoe![]()


Wewe jamaa Kuna namna maana nilikwambia siwez kupoteza muda na wewe ,nikakwambia usini quote ,ila husikii , Kuna namna haupo sawa au unatafuta bwana kinguvu ,Matusi ya nini tena mbona huwa unakasirika sana tukikuambia ukweli kijana, Tulia hapa sio kitchen party ushazoea u mc basiii unataka kuongea pekee yako.
Punguza hasira brother we are here against false hope and you are the one who bring false hope .