


Wazee wa kuinvert kiungo, na kuinterchange play, tupeni updates ngapi ngapi huko??





kumbe huwa mnaumia sanaMjinga mmpe cheoMimi naombea nyumbu washinde Leo waanze huu. Uchizi wao kujiita Tito Kontenda
Alafu wajisahau kuongeza watu, ili ile kwao vizuri![]()

Wazee wa ku overload na positional play.Wazee wa kuinvert kiungo, na kuinterchange play, tupeni updates ngapi ngapi huko??
Tunaambiwa Rice ni kiongozi uwanjani. Labda uongozi wa kuongoza vikao vya Zincheko vya kufundisha pressing, kuinvert RB LB, na kuoverload
View attachment 2696560



yaani vikao haviishi hasa sijuiii huwa zincheko anawaambia nini embu fikiri game na Brighton zile 3 vikao vilikua jumla 4, kabla ya gemu na hivyo vya magoli 3


Hahaaa huo ujinga hatunaArsenyani muuzeni Partey.

. Kushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi.Nyumbu kumbe hawapo vibaya Sana bhn, naona msimu huu mpira utakua wa kustukiza stukiza tu
Why?
Hawana watu wa kukaa na mpira
Kwaio muda mwingi watakua wapo nyuma katika michezo yake mingi ata akicheza na Aston Villa
Ten hag ashastukia hili bomu bila kwenda nalo hivi x-mass sifiki