Tunahitaji reinforcement haraka sana, zaidi tunahitaji kuziba nafasi ya Nasri hapa kati na kule nyuma mabeki wa uhakikakama wawili na sio akina Sqilachi. Venginevo hongera vijana kwa clean sheet.
Discipline nayo imeshuka, Song bahati yake, Gervinho nae inabidi ajifunze haraka kwamba ligi ya Uingereza hakuna kujitupa-tupa kirahisi. Nimeshangaa tumecheza na frustrations sana na ndio sababu ya kupata kadi nyingi, zaidi wale wachezaji senior wameonekana wako frustrated, Song, RVP, Vermaelean na Rosicky wote walionekana wana mahasira.
Mzee Wenger inabidi afanye kazi ya ziada kuturudishia imani.