Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo Gervinho kama ni ngumi mkononi namna hii basi epl atakuwa anazichapa kila siku.
 
we cant judge any team in game... sie leo tulifulia kabisaa, at least arsenal wanajitahidi
 
Swahiba siku hizi umehamia mitaa ya NC ama ndio ndio unashabikia kila mpinzani anayecheza na Arsenal?
<br />
<br />
Kijana wetu huyo Fergie ndiye kamleta England
 
we cant judge any team in game... sie leo tulifulia kabisaa, at least arsenal wanajitahidi
<br />
<br />
Mkubwa biashara asubuhi,utakuja kuona umuhimu wa hizi pointi May mwakani
 
Biashara za asubuhi ni kazi ya Arsenal, Man Utd Biashara ni Kuanzia December
 
Back
Top Bottom