Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Huyu ni mrithi wa Nasri?Mrithi wa Fabregas yuko njiani.
Huyu ni mrithi wa Nasri?Mrithi wa Fabregas yuko njiani.
Hivi mkuu bado unaamini Barcelona wanamhitaji Fabregas au basi tu wanataka kutishia watu nyau lol? Wangekuwa na nia naye wangemchukua kama walivyofanya kwa Sanchez.Naona wamepata mrithi wa Fabregas ,huenda wiki hii Fabregas akajiunga na Barcelona
Kabisa mkuu.Dogo Chamberlain atatusaidia sana huko mbeleni.
‪Alex Chamberlain - Southampton Sensation‬‏ - YouTube
Kwa sasa bado nasikilizia usajili wa beki na issue za Fabregas na Nasri kutatuliwa.
Yani prof angefumba eyes kidogo,awatwae samba na cahill then amalizie kwa juan(huan) mata,backline yetu ingetisha ka fort jesus na tungekuwa na undisputed midfield zaidi ya barca!
Akili za bosi wenu AW anazijua yy mwenyewe...ni sawa na kumpangia kikosi SAF....
Yataka moyo sana kuwa ardent fan wa Arsnools...unles azawiz, ushabiki wa klabu sio kabila, ambalo huwez libadili...karibuni ngome Kongwe, khekheeeeee!
Sipati picha Balantanda ana khali gani na mazingaombwe haya ya AW..lmao..!
Pete Wood, who runs Arsenal fans' website Le Grove, told the Daily Mirror: "It's just amazing that we've spent the whole summer trying to buy Gary Cahill or Chris Samba but have been told that we won't pay over the odds. But we will pay top dollar for a young talent who has been playing in League One?
angalieni reaction ya gooners supporters & iam with them
Kweli kabisa mkuu na ndio maana nimesema tunasikilizia usajili wa beki na tunahitaji japo wawili.
...nakubaliana nawe, hasa left back. Traore bado kwa mtazamo wangu japo Arsene Wenger amefaulu sana kuibua vipaji kwenye idara hiyo mfano; Silvinho, Ashley Cole, Clichy, Gibbs...
Si unaona? hawa ndio wale niliosema wanashoboka, lakini waache waendelee tu siku zao za kufurahi zinaelekea ukingoni-muda utakapowadia watanyamaza na aibu tele!
umemsahau lauren etame mayer
Together We Stand Bruv....! Le Professeur anakimbia wages nini huyu? unajua mambo ya cheap labour nayo mnh!
Haya, tuone AOC naye ata 'offer' nini Imarati msimu huu!....

Arsenal complete £12 million signing of Alex Oxlade-Chamberlain from Southampton.
Kwa kweli mie wazee tungemvumilia tu AW mpaka achoke aondoke, labda hizo hela anazobania, akija manager mwingine ndio zitaanza kutumbuliwa mpaka tuwe na madeni kama Manure!
AW anaendesha club kama Company LTD.
Madeni hakuna, washabiki waliokuja juzi juzi tu na wasiojua jinsi Arsenal inavyondeshwa ndio wanaongoza kwa kelele.
Kwa kifupi Arsenal haina kawaida ya kununua wachezaji kwa bei mbaya, kuja juu kwa Man City na Chelsea isiwe sababu kwetu na AW kuleta madeni tukaishia kama Leeds, Portsmouth au Newcastle.
Tusifikirie mno tunacho miss, maana hatuta enjoy tulicho nacho.
Atawasajili hao mabeki/beki mnaotaka ila kwa jinsi yeye AW anavyotaka, maana si ndio manager wakuu??

Dahhh, nakweli bana! ...dahhh......Manda ataiona hii, atake asitake!