Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama Nasri naye ataondoka basi msimu wetu ndio utakuwa umemalizika hata kabla ya msimu kuanza maana itakuwa ni midebwedo mitupu! Inasikitisha sana kuona timu iliyokuwa na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa ikikimbiwa na Wachezaji wake wazuri kutokana na maamuzi mabaya katika usajili. Inaelekea msimu huu itakula kwetu.

Nina wasiwasi Arsene season hii akawa manager wa kwanza kuachishwa au kujiuzulu kazi....huo ni mwono wangu
 
Mi naona tu waondoke! Msimu uliopita wote Fab hakufanya chochote, kwanza alikuwa majeruhi! Mbaya zaidi alisababisha tutolewe na barca CL kwa kumpa Iniests pasi ya kisigino!
Nasri was good in the first half of season, baada ya hapo akapotea kabisa! Game za preseason hajafanya cha maana!
Let them go..hata kipindi akina Viera wanaondoka watu waliona ndio mwisho wa Arsenal, but babu akamaintain!
 
Mi naona tu waondoke! Msimu uliopita wote Fab hakufanya chochote, kwanza alikuwa majeruhi! Mbaya zaidi alisababisha tutolewe na barca CL kwa kumpa Iniests pasi ya kisigino!Nasri was good in the first half of season, baada ya hapo akapotea kabisa! Game za preseason hajafanya cha maana!Let them go..hata kipindi akina Viera wanaondoka watu waliona ndio mwisho wa Arsenal, but babu akamaintain!
Kweli kabisa mkuu....Waache waondoke.....Mimi ningependa kuona wanabaki RVP na T5 basi....Wengine wote wa msimu uliopita waondoke ili tuisuke timu upya.....
 
Mi naona tu waondoke! Msimu uliopita wote Fab hakufanya chochote, kwanza alikuwa majeruhi! Mbaya zaidi alisababisha tutolewe na barca CL kwa kumpa Iniests pasi ya kisigino!
Nasri was good in the first half of season, baada ya hapo akapotea kabisa! Game za preseason hajafanya cha maana!
Let them go..hata kipindi akina Viera wanaondoka watu waliona ndio mwisho wa Arsenal, but babu akamaintain!

Maneno ya wakosaji.
 
cescfabgreas_1358067a.jpg

£36m deal for Cesc – but he pays £4.5m out of his own pocket

CESC FABREGAS is on the brink of sealing his dream move to Barcelona.

But the Spanish midfielder will have to fork out £4.5million from his own pocket to do it. Arsenal are set to agree a £35.9m fee with Barcelona - plus add-ons - should Fabregas win major tournaments. But the fee also includes £900,000 a year which Fabregas has agreed to pay Arsenal out of his own wages over the next five years of his Barca contract. All that remains is for Fabregas, 24, to thrash out personal terms to bring to an end a three-year saga.

And last night he returned to the London Colney training ground to clear out his locker. The Gunners skipper has made no secret of his desire to return to Barca, the team he left at 16.
 
kumbuka tunauwezo wa kukataa kumuuza cuz ana mkataba mka 2014!
Mpaka Arsenal wameamua kumuuza, ujue tayari kuna mtu wa kufill gap lake!

Acha uongo wewe Arsenal ni mtaji wa Board of Directors, Hata mkimuuza hamtasajili mchezaji wa maana zaidi ya kuendelea kutafuta wachezaji wa 50 kitu from france.
 
Acha uongo wewe Arsenal ni mtaji wa Board of Directors, Hata mkimuuza hamtasajili mchezaji wa maana zaidi ya kuendelea kutafuta wachezaji wa 50 kitu from france.
Hapo umeongea point mkuu... Arsenal inaendeshwa kibiashara zaidi, na Motive/aim ya biashara yote ni MAXIMIZATION OF SHAREHOLDER'S WEALTH!
 
kumbuka tunauwezo wa kukataa kumuuza cuz ana mkataba mka 2014!
Mpaka Arsenal wameamua kumuuza, ujue tayari kuna mtu wa kufill gap lake!
Huo mkataba unafikiria ni neno la dini aliwezi kuvunjwa au kubadilishwa? Kama Fabregas amehamua kulipa 4.5m kutoka mfukoni kwake ili deal ipite basi ujue either ameichoka Arsenal au anataka sana kushinda vikombe na mtu kama huyo kumzuia itakuwa na effect kubwa sana kwenye timu in a long run.
 
Hapo umeongea point mkuu... Arsenal inaendeshwa kibiashara zaidi, na Motive/aim ya biashara yote ni MAXIMIZATION OF SHAREHOLDER'S WEALTH!
aka profits,wachezaji nguli ndio haoo,wanaondoka,wacha waende.
 
Sijaona busara ya babu kuwajumuisha Cesc na Nasri CL list wachezaji wanaoondoka.

Cesc tangu alipoondoka Flamini 2008 alishaanza manung'uniko ya kutaka kuondoka.
Nasri nae huyo, msimu wa 2010-2011 ndio aliong'ara tangu aje Arsenal 2008.
Wote hawa wawili hawataki kuichezea Arsenal msimu ujao, tunawang'ang'ania wa nini?

Acheni waondoke bana. Mbona mmekuwa na kumbukumbu mbaya sana wenzangu?
Hamkumbuki Viera nae na kilio chake cha 'kutishia nyau' mpaka akauzwa Juve 2005 ambako hata hakudumu?
Kuondoka kwa Captain Viera ikawa chimbuko la Fabregas, mmeshasahau?

WE ARE THE GUNNERS bana,....'kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi!'
Ni bora kuwa na wachezaji wachache wenye moyo, kuliko kuwalazimisha kubakia.

Binafsi na prefer Eboue abakie, japo kuna kila dalili atauzwa Galatasaray.
Msimu huu naamini tutamuona TOMAS ROSICKY mpya, wenyewe mtashangaa..

Kweli kabisa mkuu....Waache waondoke.....Mimi ningependa kuona wanabaki RVP na T5 basi....Wengine wote wa msimu uliopita waondoke ili tuisuke timu upya.....

Balantanda tupo ukurasa mmoja bro, WE ARE THE GUNNERS, TOGETHER WE STAND!

206442_2006093236308_1362983339_3469496_4693792_n.jpg

In Arsene Wenger I Trust!!!
 
Kweli umefika wakati kuchukua maamuzi magumu kuwaacha waondoke kwa kuwa kumlazimisha mchezaji kubakia inaweza kupunguza moral katika Timu,wasiwasi wangu ni Arsene Wenger tranfer zake hutumia muda mwingi kwa mazungumzo,hii hali aliijua mapema lakini bado anasubiri dakika za majeruhi ndio afanye replacement,kwa nini asubiri mpaka msimu uanze ndio afanye usajili? Hakuna ubishi ukuta wa Arsenal unataka kuimarishwa anasubiri nini?..kweli Gibbs anawaweza kujaza pengo la Clichy?....lakini tutafanya nini ushabiki wa mpira ni pressure ya kujitakia!
 
Arsenal are in advanced talks to sign birmingham city's 24 yrs old central defender scott Dann for a fee of around £6m.
 
jadson-230.jpg
....Jádson Rodrigues da Silva.... (midfielder) Brazilian, from Shekhtar Donesk

scott-dann-63877247.jpg
...Scott Dann...(Defender) British, from Birmigham City FC
 
Kweli umefika wakati kuchukua maamuzi magumu kuwaacha waondoke kwa kuwa kumlazimisha mchezaji kubakia inaweza kupunguza moral katika Timu,wasiwasi wangu ni Arsene Wenger tranfer zake hutumia muda mwingi kwa mazungumzo,hii hali aliijua mapema lakini bado anasubiri dakika za majeruhi ndio afanye replacement,kwa nini asubiri mpaka msimu uanze ndio afanye usajili? Hakuna ubishi ukuta wa Arsenal unataka kuimarishwa anasubiri nini?..kweli Gibbs anawaweza kujaza pengo la Clichy?....lakini tutafanya nini ushabiki wa mpira ni pressure ya kujitakia!

Ndio hivyo mkuu, wacha AW atengeneze legacy yake, siku ya siku wapenzi hasa na wenye mali wakimchoka basi itabidi aondoke, ila club yetu ni ya kiistaarabu, hatuna "knee jerk reactions", tunajua madhara yake, its too dangerous kumtimua kwa sasa, ila siku timu ikitulia labda.
Huyu bwana kasheshe ana madaraka makubwa mno, kila kitu ana control yeye, labda akija meneja mwingine itabidi apunguziwe madaraka, hasa ya uuzaji na usajili.
Yetu macho, kama usemavyo, pressure zinakuja wakati wakicheza! Mie naenda kupima BP kabisa, ningeshauri wenzangu mjiandae pia!
 
Acha uongo wewe Arsenal ni mtaji wa Board of Directors, Hata mkimuuza hamtasajili mchezaji wa maana zaidi ya kuendelea kutafuta wachezaji wa 50 kitu from france.

Ndio maana ya biashara Mfarisayo, Arsenal sio public company per say, shares zake ni special, zinamilikiwa na shareholders. Kibiashara ndio iko ivyo toka ilipoanzishwa, ila kipi bora hivyo au kuwa inamilikiwa kwa asilimia kubwa na sugar dad??
Ndio kwanza Arsenal wamehamia kwenye state of art stadium! Wachezaji kibao either wameondoka kwa ridhaa zao au kuuzwa kwa kujitakia wenyewe. Lakini ebu tuangalie, nipe jina la mchezaji aliendoka kwetu ukasikia kaenda kufanya maajabu kwenye timu alizohamia?
Hata gwiji Henry hakuweza!
Mie nina kabwana mdogo kanampenda sana Diaby, ningependa haka katoto kangu kakue na kaikute Arsenal iko bado kwenye Prem Lg, na sio League one or Two, kisa eti cha kununua wachezaji wa bei mbaya!
Tofauti ya mpira siione kwa hao wanaonunua wa bei mbaya, kama ni vikombe basi wache hizo timu za ma sugar dad zishinde mpaka zivimbiwe, ila tutaona mwisho wake!
 
Swala sio kununua wachezaji wa bei mbaya, swala ni kununua wachezaji wenye experience a la TV5 na sio akina Squilacci au Koscielny.
 
So rumor has it Barcelona wameshuffle number za kwenye jezi guess what? Jersey number 4 imeachwa wazi (ilikuwa apewe Thiago Alicantara).
 
Back
Top Bottom