Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chonde Chonde Wenger, mchezo wako wa kusubiri mpaka tarehe ya mwisho ndio ufanye usajili wa ku-bargain ni nomaa; kuna mechi ngumu sana wiki 2 Za mwisho wa usajili ambazo zitakuwa muhimu sana kutabiri ya mbeleni.

Bila kutatua matatizo ya Fabregas na Nasri pamoja na swala la beki hizi mechi zifuatazo zinaweza kutusumbua sana:

August 13 Away Newcastle

August 16 Home Udinese

August 20 Home Liverpool

August 24 Away Udinese

August 28 Away Man united

Mechi ziko karibu sana na mpaka sasa hivi tupo tupo timu ijatulia. I hope kutafanyika mabadiriko kabla tarehe 13.

Weekend Njema gooners wote pamoja na washabiki wengine wa kandanda.
 
Mkuu usiwe na shaka Wenger knows, usione magazeti na pundits wanamsakama fahamu kwamba mziki wake mnene. Timu ya kuanza EPL ipo sawa sema lazima aangalie anamleta nani kule nyuma kwa ajili ya majeruhi nk. Gibbs is not yet kushika ile number anapwaya sana, Cesc hata mwaka jana mwanzo wa ligi hakucheza na msimu uliopita ndio aliharibu kabisa timu, this time atacheza kimkanda mkanda kwa sababu ya jeuri yake. Keshakubali kupunguza mshahara wake kwa Barca lakini ndio mpira wake utaisha na yeye mwenyewe anafahamu yuko njia panda. Kama ataondoka basi hatacheza CL mwaka huu ... ..... ..... ..... .....
 
Sawa Sawa mkuu tuko pamoja kusubiri Gervinho Show.
 
hii ngoma na udinese ngumu sana kwetu arsenal!najaribu kujenga picha game ya kwanza bila van persie na nasri wakati dogo wilshere naye majeruhi na injini yetu fab ndo fifty fifty!mbaya zaidi tunamalizia ugenini....
 
wenger angefanya jambo moja la busara, uza cesc bakisha nasri kwa gharama kubwa, cesc ndo aliiua arsenal second half of the season na nasri aling'ara sana kipindi ambaco cesc hayupo, ile cesc kurudi tu nasri akapwaya na arsenal ikapoteza mwelekeo, so cesc hahitajiki kwenye timu
wenger pia hesabu zake ni ajabu, binafsi sitarajii lolote maana hatuna beki imara ya kati wala beki wa pembeni wa kushoto wa kueleweka, kwani kama vermaleen ndo atacheza 3, ile partnership ya koscienly na djourou/squilaci is very porous, tutakuwa bado wasindikizaji

in fact kikwete na wenger wote wanafanana, maana hawawezi kuchukua maamuzi magumu, waoga na hawana plan b wakati wa crisis na pia hawawezi kuleta discipline kwa wachezaji wasio na moyo, namhusudu ferguson, yeye hapendi ujinga na mchezaji mwenye kiherehere cha kuondoka anaonyeshwa exit door mara moja , maana aheri umuondoe staa mmoja ubaki na magalasa wenye moyo na morali ya kuitumikia timu
 
Babu bilakufungua pochi hatufiki mbali.

Ni kweli kabisa ndugu yangu mimi inaniuma sana kuona ubahiri na usiri mkubwa sana katika usajiri kiasi kwamba tunachoka na gossip za kila siku.Maadam katuahidi week ijayo ngoja tutulie ili tuone usajiri wake hasa deffence.
 
sidhani kama atafanya usajili... iam looking forward kuangalia game yetu ya kwanza itakuwaje...?!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naona Gervinho anajitahidi sana kukaba pia.Gibbs leo kacheza vizuri so far lakini bado sio wa kumtegemea.
 
Back
Top Bottom