Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
hivi habari za nasri ... kwenda city zimeshakuwa confirmed ..???????
Arsenal wamekubali, kama city wakitoa m25.
hivi habari za nasri ... kwenda city zimeshakuwa confirmed ..???????
Hivi UCHOKOZI umeanza lini?
Naomba niku unfrnd JF rasmi, naona unagusa pasipogusika...unles azawiz naomba ufute kauli(picha) yako...lmao!
Nasri and Fabregas wako included kwenye kikosi cha champions league.sasa wanaotaka kununua kazi kwao.
hivi habari za nasri ... kwenda city zimeshakuwa confirmed ..???????
Hapo ilikuwa kazi kazi,hakuna kuremba.
Dahhh, nakweli bana! ...dahhh......Manda ataiona hii, atake asitake!![]()
Rumor has it kuwa Barca na Arsenal wamekubaliana kumuuza Fabregas for Euros 35m, could rise to 40m (bonuses, etc). Cesc taking pay cut. More to come.
Sijaona busara ya babu kuwajumuisha Cesc na Nasri CL list wachezaji wanaoondoka.
Mkuu Lauren Eteme Maya alikuwa Right backumemsahau lauren etame mayer
Ni wachezaji wa Arsenal lakini hii uncertanity inayowazunguka wachezaji hawa inamfanya kila shabiki wa Arsenal kutokuwa na raha,ingawa hatuwezi kuamini kila kinachoadikwa na magazeti lakini,mfano jioni ya leo habari kubwa ni Fabregas huenda mpaka Ijumaa uhamisho wake kwenda Barca ukawa umekamilika,na Nasri halikadhalika ripoti za karibuni zinasema kama Man City wakiweza kulipa 22 million pound kwa mkupuo mmojaKwani hao ni wachezaji wa timu gani? Wanalipwa kila wiki bonge la mshiko na Gunners chacha wasipowekwa kwenye hiyo list wawekwe kwenye list ya timu gani?
Akili za bosi wenu AW anazijua yy mwenyewe...ni sawa na kumpangia kikosi SAF....
Yataka moyo sana kuwa ardent fan wa Arsnools...unles azawiz, ushabiki wa klabu sio kabila, ambalo huwez libadili...karibuni ngome Kongwe, khekheeeeee!
Sipati picha Balantanda ana khali gani na mazingaombwe haya ya AW..lmao..!
Well said, ila missing on pertinent point:
Sound financial status haiwanufaishi millions ardent fans wa Arsenal fan ambao 98% ya mapato ya Arsenol wanayapata kupitia hao. Wht do they need back?, TROOPHIES period....!
Hizo sound financial statements zinawanufaisha very few shareholders wa Arsenal PLC ambao wakifunga mahesabu ndio wanapata faida.
Mnabahati u play tht sex footbal, kitu ambacho kinawafanya watu weengi wapende kuwaangalia..ila tht patience is getting thin and thinner, soon or later, watu watawachoka, hata ww utawachoka.
TUMECHOKA KUSINDIKIZWA bana kwenye troophies Marathon.
Mbu naye BP imshuke kidogo wajameni...
Nasikiliza BBC 5 live, wanadi kuna tetesi kuwa kesho rasmi, Fabregas sio wetu, ataenda kwa 35m Euros rising to 40m Euros.
fantastic deal.
Tusubiri mahela ya Nasri!
Another source
Fabregas finally heads towards Barcelona as Spaniards close in on £35m dealSource : Cesc Fabregas heads for Barcelona deal | Mail Online