Wanajua Ndoo inachukuliwa December 🤣🤣🤣🤣Hawa jamaa ni wajinga sijawah kuona



































































Hahahahahahahahah!Wagonga Nyundo.
Watakatifu.
Wananchi.
Wabluu.
Ndege Kinubi.
Ndege Shakwe.
Msitu wa Nottingham.
Mbwa Mwitu.
Hizo ndiyo mechi 8 za Arsenyani zinazofuata.
Msimu umeisha, ligi imeisha, imemalizwa na hawa kwa ujinga ujinga wao.
Sasa tunafanya season review na hizi ni baadhi ya Memes zilizi-trend msimu huu.View attachment 2629244View attachment 2629245View attachment 2629247View attachment 2629248View attachment 2629250View attachment 2629253View attachment 2629255View attachment 2629257
Bora wewe umekuja wenzako wote wamekimbia. Yah mko slow sana, tuliwambia siku nyingi Partey ni mzito hana spidi. Hivi vitimu vidogo vina watoto wanakimbia sana.We are too slow with predictable passing
Ha haaaaa na Jersey za ubingwa walisha-print..View attachment 2629263
Champions
Washika mitutu tusikate tamaa.. Hii ngoma bd tunabeba.
City anakufa game zake zote.. Sisi tunashinda zetu.. Kikubwa dua.
We press&overload. #COYG![]()

Daah inasikitisha sana, tukisema kuwa shabiki wa arsenal ni sawa na kituko au akili zimerukaa tunaonekana wabaya![]()



Siyo kwa ubaya jamani. Ila huu mwandiko no wa computerarsenal
Sema jitahidini mpate ushindi muokoe laki yangu🥲


!! Tunafanana wote tumekua arsenal fan for so long mpaka tumechoka . Mimi nishakimbia nimekataa kuwa kituko ila computer arsenal bado ni arsenal fan