Watu wankupa facts ww unaona hisia arsenal fans mmelogwa na nani unajua mara ya mwisho arsenal kufika robo fainali uefa ni 2008/2009 na misimu kibao kacheza uefa mpaka 2016 huko anaishia 16 ila Leicester kafika robo fainal within a single season only!
Unaelewa arsenal robo fainali ya mwisho ni 2008 unaona arsenal ni timu kubwa hapo. Be serious kidogo basi arsenal ni average timu ..
Wewe unaanza kutaja sijui chelsea sijuii man utd sijui Liverpool hizo ni timu kubwa ndani ya miaka 10 hizo timu zote zina Europa, uefa na ligi ni timu kubwa huwezi fananisha na arsenal.
Nipe sifa ili timu iwe timu kubwa inahitaji vitu gani 3 vya muhimu . Unamtaja perez tena na super league yake
