The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,599
- 98,808
Watu wanawekeza kwa pesa nyingi nyie mnaleta utoto, mtakaa mpaka mnazeeka hata carabao hamtopata kwa utoto huu mnaofanya uwanjani a.k.a ze comedy.
Mkuu sipend kukukatisha tamaa lkn ushind.. Mmh hawa Arsenal wamekua wajinga sana yan ww imagine ulikua nje ya dunia for 2 weeks.. Umerud ukaambiwa hii team ilikua kwny tittle race.. Ww ungekubal?Siyo kwa ubaya jamani. Ila huu mwandiko no wa computerarsenal
Sema jitahidini mpate ushindi muokoe laki yangu🥲
Kuna wakati nahisi makocha huwa wana bet aiseeI don’t know why was Tierney left out
Kuna wakati nahisi makocha huwa wana bet aisee