Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wankupa facts ww unaona hisia arsenal fans mmelogwa na nani unajua mara ya mwisho arsenal kufika robo fainali uefa ni 2008/2009 na misimu kibao kacheza uefa mpaka 2016 huko anaishia 16 ila Leicester kafika robo fainal within a single season only!
Unaelewa arsenal robo fainali ya mwisho ni 2008 unaona arsenal ni timu kubwa hapo. Be serious kidogo basi arsenal ni average timu ..
Wewe unaanza kutaja sijui chelsea sijuii man utd sijui Liverpool hizo ni timu kubwa ndani ya miaka 10 hizo timu zote zina Europa, uefa na ligi ni timu kubwa huwezi fananisha na arsenal.

Nipe sifa ili timu iwe timu kubwa inahitaji vitu gani 3 vya muhimu . Unamtaja perez tena na super league yake[emoji23][emoji23]
Dah zaid ya statistics za google na hapa na pale bado sijaona clear vision yako.hebu jibu hili swali wewe ni SHABIKI au MPENZI WA MPIRA ukiwa ndani ya arsenal?
 
Watu wankupa facts ww unaona hisia arsenal fans mmelogwa na nani unajua mara ya mwisho arsenal kufika robo fainali uefa ni 2008/2009 na misimu kibao kacheza uefa mpaka 2016 huko anaishia 16 ila Leicester kafika robo fainal within a single season only!
Unaelewa arsenal robo fainali ya mwisho ni 2008 unaona arsenal ni timu kubwa hapo. Be serious kidogo basi arsenal ni average timu ..
Wewe unaanza kutaja sijui chelsea sijuii man utd sijui Liverpool hizo ni timu kubwa ndani ya miaka 10 hizo timu zote zina Europa, uefa na ligi ni timu kubwa huwezi fananisha na arsenal.

Nipe sifa ili timu iwe timu kubwa inahitaji vitu gani 3 vya muhimu . Unamtaja perez tena na super league yake[emoji23][emoji23]
Ok. Arsenal ni timu ndogo.
 
Haaaah, hivi kumbe mpaka west ham wanaweza kubeba european cup (conference) halafu hizi kima humu zinabaki kujitapa na mpira mzuri!!!
Kweli wehu hawawezi kuisha duniani.
 
Lini umeona mashibiki wa Arsenal wakiwa na fikra za kubeba makombe?

Wao wanachojua ni ateta anamiliki mpira.

Makombe Makubwa waachie timu hizi:
1. Chelsea
2. Man City
3. Liverpool nae kidogo

Zile kombe za panya waachie
1. Man u.
2. Arsenal
3. Sijui na nani vile[emoji23][emoji23][emoji2093][emoji2093]
 
Hivi Aaron Arsenal yuko wapi!? Alikua mjuaji sana pamoja na Jackwillpower na kujifanya timu Ina squad depth kubwa ilihali nilieleza jinsi akiumia beki mmoja tu timu itaporomoka.

Kaumia tu Saliba timu imeporomoka, alafu baada ya kuona timu inafungwa wamekimbia jukwaa. Very biased analysts humu hamna wanalojua ila wamejaa kashfa tu eti "umekuja juzi". Leo mko wapi Sasa?

Popote mlipo know that you are a bunch of delusional losers.
 
Namkubali Aaron anajua mpira kama walivyo mashabiki wengi wa arsenal. Kitendo cha kukaa kimya ni kuonesha levels maana Nzi mmejaa sn humu.
 
Aseno ndoo[emoji91][emoji23]
Ukiwasikia sasa kina Verifaiyuza wakiizungumzia hio Asenyo ndoo unaweza jua wapo serious kumbe ndoo wanayo iongelea ni hii [emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20230520_144110.jpg
 
Arsenal while looking to reinforce the squad, will allows three fringe players to move on, TK, ESR and Holding
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom