21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,844
Arsenal mmempa city ubingwa kilaini sana
Yan mlivo wajinga mmempa mtu ubingwa akiwa yy kalala kwl?.
Hlf mseme huu ndo msimu wenu bora?.. Mtakua na akil Kwl?.
Yan ni basi lkn nasisitiza sana wale wote waliosema Arsenal wapo kwny title race wakamatwe na wachukuliwe hatua kali huu ni utapeli uliopitiliza kiwango.






Hawa jamaa ni wajinga sijawah kuonaWanajua Ndoo inachukuliwa December 🤣🤣🤣🤣Hawa jamaa ni wajinga sijawah kuona