Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,649
Kulikuwa na suti tena?Sasa zile suti za ubingwa inakuaje tenaaa! Ila mmejitahidi jipangeni kwa msimu ujao!
NB: Mwarabu apewe Man utd haraka sana.
Mi nilisikia waliongeza kiingilio kwenye mchezo wao wa mwisho maana walijua watatawazwa kuwa wamejinyea