Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] some fans hawataki kukubaliana na ukweli kuwa ARSENAL IS SHIT akitokea another fan anaisema ARSENAL kwa data waatasema either ni Computerarsenal or milangomitatu and now on umetokea na wewe wanaanza kukusema but the real truth is Arsenal ni team ya kisenge senge tumeamua kuwa Arsenal fans sababu ni hatuwezi kubadili team kwa sasa Acha tuendelee kuugulia maumivu
Now wananiita ni wewe [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mimi 20 years ya maumivu inatosha kabisa no pain anymore. Tungekaa nafasi ya 2 toka mwanzo wa msimu nisingekimbia ila hii kubaki 8 games to win the damn title imeniondolea imani yote kabisa if tumeshindwa hapa tutaweza wapi? Sioni kabisa . It was 8 games bro!!!! Eight games[emoji24][emoji24] daah and we bottled it kwa soton , westham and Nottingham hahaha it will never happen arsenal kuwa bingwa