Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hamis77 huyu kwa alivowadaganya wenzake asipochukulia hatua haitakua fundisho kwa wengne.

Huyu akamatwe awekwe ndan Pa1 na wajinga wenzake wengne hapa wote washikilie kwnz kwa tuhuma za Ugaidi ili wakose dhamana na baada ya hapo washtakiwe kwa kosa la utapeli ama ulaghai wa maneno zidi ya wenzao [emoji23][emoji23]

hamis77 akamatwe kwa kosa la Ugaidi [emoji23][emoji23]
Akamatwe haraka sn.
 
Arsenal msimu ujao ndiyo watapoteana kabisa maana kwenye usajili hamtaweza ku-battle na timu zenye project zinazoeleweka. Nyie na Arteta wenu mmeithibitishia dunia kuwa ni bottlers.

Wachezaji wenu pia bado ni wadogo sana. Hii hali ya kukosa ubingwa au kombe lolote msimu huu pamoja na kuwa bora (mlivyojiaminisha) itawakata moto sana.
 
20230424_180858.jpg
20230424_180858.jpg
 
Agent wa Chelsea huyu hapa chini at work

Levi Colwill vs. Arsenal:
  • 90 minutes played
  • 4 clearances
  • 1 blocked shot
  • 3 interceptions
  • 2 tackles
  • 108 touches
  • 86.3% pass accuracy
  • 1 key pass
  • 13/20 long balls completed
  • 2/2 ground duels won
FwGvp9dWAAIxMFx
 
Arsenal msimu ujao ndiyo watapoteana kabisa maana kwenye usajili hamtaweza ku-battle na timu zenye project zinazoeleweka. Nyie na Arteta wenu mmeithibitishia dunia kuwa ni bottlers.

Wachezaji wenu pia bado ni wadogo sana. Hii hali ya kukosa ubingwa au kombe lolote msimu huu pamoja na kuwa bora (mlivyojiaminisha) itawakata moto sana.
yeahp! Shida ni vijana wasio hata na ndevu kushinda na wanaume wazoefu
 
Yaani hawa arssAnal wanapitia magumu kweli. Si mkimbie team kuliko kupatwa na mawazo hivi na mmeukimbia uzi wenu
 
hamis77 huyu kwa alivowadaganya wenzake asipochukulia hatua haitakua fundisho kwa wengne.

Huyu akamatwe awekwe ndan Pa1 na wajinga wenzake wengne hapa wote washikilie kwnz kwa tuhuma za Ugaidi ili wakose dhamana na baada ya hapo washtakiwe kwa kosa la utapeli ama ulaghai wa maneno zidi ya wenzao [emoji23][emoji23]

hamis77 akamatwe kwa kosa la Ugaidi [emoji23][emoji23]
Unaambiwa mpaka dakika hii hamis77 yuko kwenye mikono salama akilisaidia jeshi la polisi na intelijensia ya nchi kuelezea huo uhaini wao wa kujitangazia ubingwa kabla ya ligi kuisha na kuleta taharuki kubwa kwenye jamii inayowazunguka, mfadhili wao ni nani na malengo yao hasa ni yapi?
Screenshot_20230514_225554.jpg
 
Jorgninho alipojiunga na Arsenal January 2023 kutokea Chelsea, Arsenal walikuwa point 5 kileleni mwa ligi
Maagent wetu huwa hawatuangushi kabisa
Walianza akina Luiz, Willian, Petr Cech na sasa Jorginho

Walianza kututukana hawa washamba kwamba sisi tumeshindwa kumpa Jorginho EPL sasa atachukua kupitia Arsenal
Labda kwa muujiza wa karne
Note: sisi alibeba makombe ya nguvu manne pale darajani
  1. UCL
  2. Europa
  3. Club world
  4. UEFA Supper cup
FwG0K4VXsAAkPBq

Similar Discussions

Back
Top Bottom