Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo tunarudi kileleni
Kila mtu ashinde mechi zake
Screenshot_20230514_164742_All%20Goals.jpg
 
Sema wanangu mmezingua mmekaa kileleni robo tatu ya msimu mnashindwa kumaliza mkia

Arsenal ndivyo ilivyo hizi game westham na Southampton ndo ilikua arsenal kweliii hii nyingine toka mwanzo wa msimu mpaka hizo game sijuii ilikua timu gani hizi game tumezingua sana , hatuwezi shinda tena epl tusubiri miaka zaidi ya 30 tena .. hizi game 2 mashabiki wa arsenal tuzirudie then tuangalie upumbavu tumechoma wapi daaah we are losers always!!!!!!
 
Arsenal wamekua kama waganga wa kienyeji wamebak kupiga ramri tu.

Pigeni ramri tupoteze msahau kuombea team yenu mje mdraw au kupoteza nyie sasa.
 
Zinchenko, saliba Hadi msimu ujao

Square depth ndio alichotuzidi man city

Ngoja kwanza tumbamize huyu Brighton then tuje kupiga hesabu vizuri hapa

Chelsea
Brighton
Brendford
Wanaweza wakatufanyia kazi hawa vijana
Screenshot_20230514-173831.jpg
 
Hii timu imepoteza hili kombe msimu huu kizembe sana yani.
Yan zaid ya kizembe.. Mm niliwaambia humu kua mtego upo kwa wao kushinda game zao izi ndg ndg.. Wangeweza ilo tu wangekua kwny position ya ubingwa.

Leo hii wamekua wapiga ramri tu.

Ww unakimbizana na City hlf eti una draw game 3 mfululizo.. Kwl?.. Tena ukiwa umesema sisi tumetoka kwny Michuano mingne ili tu focus na ligi.. Asee Arsenal mwaka huu wanakosa ubingwa sidhan kama watakua kwny position nzr tena kama mwaka huu itakua ngum sana.

Liver tu Pa1 kipind kile anashinda game zake lkn gape la point 1 alishindwa kurud kudadeki.. City ya pep hawana masihara ukichezea nafas majuto mjukuu.
 
Back
Top Bottom