Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Amini nawaaambia epl haiko mbali hii misimu miwili na CL itakuja Emirates arteta anapenda challenges na sio muoga that's why naamini Kuna kitu kinakuja

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Umeanza kushabikia arsenal mwaka gani? Msimu wa kuchukua ubingwa ulikua ni huu tumekosa tusahau tena.
Game 2 westham& Southampton there is no excuses kwenye game hizi 2 hasa ya Southampton home emirates ile game ilifanya nione arsenal ni ile ile jana leo na milele ( losers) . Arsenal kunzingua hatujaanza leo fuatilia 2016 , na ule mwaka ramsey yupo hot tofauti na miaka mingine mwaka huu tumechelewa kuzingua
 
Kua na subra mim nimeshabikia kitambo Sana hii timu na nimeona kipindi kigumu tulichopitia ila kwasasa nauhakika tumerudi kwenye njia na tutafanya vizuri zaidi ligi hii inachallenge nyingi kikosi chetu ni kimoja Hilo ndio tatizo basi na kocha analijua hivyo tegemea mabadiliko makubwa sana

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka ujue akili za mashabiki wa arsenyani ni mbovu huyu jamaa aliwaambia ukweli mliishia kumtusi dharau na kejeri kikowapi Sasa.

Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.

Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.

Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.

Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.

Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.

Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.

Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.

Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.

Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.
 
Without Partey and Jesus ,huku tukiwa na Nketiah aliyekuwa injury ,City almost alicheza counter attack whole game

Nachelea kusema Pale kwake kazi anayo

Saka alisema Tazama city wanakuja hapa wanapaki Basi utaelewa hatuogopi yeyote

Kwa wanaoangalia matokeo sio performance hawataelewa ndio wale tuliokuwa tunawaambia Manjesta na Spurs hawawez kugombea ubingwa wakawa wanakataa

Now Manjesta anapambania Kubaki top 4 au kucheza Europa na mwenzie Spurs
Mrejesho tafadhali
 
Tuna kikosi na team nzuri sana safari hii,mentality ishawaingia hadi vijana wadogo tulionao uwepo wa Jorginho,zinny,jesus na Arteta mwenyewe sina wasiwasi na game zilizobaki, uzur tuna game week after week tofauti na City katikat ya week wana game.
mna game week after week ausio.

2-2
2-2
3-3
Week after week.
 
Kila nikikumbuka zile tambo zao nabaki na
Screenshot_20230502_103157.jpg
Screenshot_20230502-102806.jpg
Screenshot_20230408_223241.jpg
Screenshot_20230422_105931.jpg
Screenshot_20230422_105508.jpg
Screenshot_20230422-122857.jpg
 
Arsenal team yangu imezngua Sana , Ubingwa haubebwi kwa hisia ni mpango kazi , unaongoza point 8 na umebakiza mechi 9 unashindwa kukaza kweli ety kikosi kwan southampton na west ham Wana kikosi gan had wakupigishe droo .
Ugese huu .
 
Ukitaka ujue akili za mashabiki wa arsenyani ni mbovu huyu jamaa aliwaambia ukweli mliishia kumtusi dharau na kejeri kikowapi Sasa.

Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.

Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.

Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.

Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.

Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.

Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.

Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.

Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.

Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.
Sikia hiki kichekesho eti kibahati bahati bro Mpira una njia zake kwanzia msimu huu arsenal pungufu yake ni kumaliza msimu na point 80+ Sasa tunajipanga kuongez ziwe 90+ biashara iwe inaisha mapema sahau arsenal kurudi ilipotoka nimeukosa ubingwa yes lakin Kuna vitu vingi postive nimeshuhudia mwenyewe ambavyo kwa pale uingereza anvyo cty na liver hakuna wakutufuata tena na wambia

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Arsenal team yangu imezngua Sana , Ubingwa haubebwi kwa hisia ni mpango kazi , unaongoza point 8 na umebakiza mechi 9 unashindwa kukaza kweli ety kikosi kwan southampton na west ham Wana kikosi gan had wakupigishe droo .
Ugese huu .
Mpira hauko hivyo unavyofikiri ndio maana cty nae alifungwa na Brentford akadraw na nottingham tatizo washabiki wengi tunachambua kihisia kuliko fact na stats za kimpira Kama Kuna mtu anasema arsenal iko kibahati pale juu timu Ina goal difference ya 42. Anakwambia hata challenge tena ubingwa ile form imetafutwa na Kuna vitu vingi vimekua improved n amakocha wote dunian wanasema viera kasema pia tutaendelea vizur saivi tuko mbali na sioni tukirudi tulipotoka saivi tunauwezo wa kusajili mchezaji yeyote yule tumerudi uefa kipi kitashindikana? Liver aliesubir miaka 30 kuwin pl nae kiukweli tunatakiwa tu appreciate kuliko tulipotoka saivi tungekua tuna hangaikia uropa bila dalili

Kufungwa na brentford ni huko katikati ya msimu , hapa tunaongelea mechi kubaki 8 sijuii kama unaelewa hili, mechi zimebaki 8 uwe bingwa , ndani ya dk 20 unaongoza 2 -0 then unarudishiwa goli zote kijinga inakuja game na Southampton unacheza ujinga pia arsenal mentality ya kibingwa haina , arsena l ni false hope kama unavyoona gemu muhimu tumezingua westham na Southampton hazikuwa zakuzingua then tunakuja kushinda game ya chelsea baada ya kukosa ubingwa umuhimu hapo ukwapi? Must wins game hushindi na hii sio tabia ya mwaka huu tu karibia misimu yote unakumbuka mwaka jana must win games ili kuingia top four tulipoteza tukaja shinda game za kipumbavu na everton magoli mengi yasiyokuwa na faida hii ndo maana halisi ya false hope !!
Must wins game za mwaka jana hatukushinda na must wins game za mwaka huu hatukushinda kifupi mentality ni ile ile hakuna kilichobadilika
 
Sikia hiki kichekesho eti kibahati bahati bro Mpira una njia zake kwanzia msimu huu arsenal pungufu yake ni kumaliza msimu na point 80+ Sasa tunajipanga kuongez ziwe 90+ biashara iwe inaisha mapema sahau arsenal kurudi ilipotoka nimeukosa ubingwa yes lakin Kuna vitu vingi postive nimeshuhudia mwenyewe ambavyo kwa pale uingereza anvyo cty na liver hakuna wakutufuata tena na wambia

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nakukumbusha tu Liverpool ya Brendan rogers aligombea ubingwa na city uliza msimu uliofata kilitokea nini.
 
Back
Top Bottom