Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kufungwa na brentford ni huko katikati ya msimu , hapa tunaongelea mechi kubaki 8 sijuii kama unaelewa hili, mechi zimebaki 8 uwe bingwa , ndani ya dk 20 unaongoza 2 -0 then unarudishiwa goli zote kijinga inakuja game na Southampton unacheza ujinga pia arsenal mentality ya kibingwa haina , arsena l ni false hope kama unavyoona gemu muhimu tumezingua westham na Southampton hazikuwa zakuzingua then tunakuja kushinda game ya chelsea baada ya kukosa ubingwa umuhimu hapo ukwapi? Must wins game hushindi na hii sio tabia ya mwaka huu tu karibia misimu yote unakumbuka mwaka jana must win games ili kuingia top four tulipoteza tukaja shinda game za kipumbavu na everton magoli mengi yasiyokuwa na faida hii ndo maana halisi ya false hope !!
Must wins game za mwaka jana hatukushinda na must wins game za mwaka huu hatukushinda kifupi mentality ni ile ile hakuna kilichobadilika
Soon kuna jina watakuita either ni computerArsenal au Milangomitatu mean umebadili ID wakati unachokisema ndio Arsenal team ambayo kubadilika kwake may be tufikie 60 years na wajukuu juu
 
Soon kuna jina watakuita either ni computerArsenal au Milangomitatu mean umebadili ID wakati unachokisema ndio Arsenal team ambayo kubadilika kwake may be tufikie 60 years na wajukuu juu
Hivi ndugu computerarsenal hatuwezi kupata mawasiliano ya yule ndugu yenu hamis77 usije kuta jamaa hatunae maana sio kwa ukimya huu.

Saizi hata jukwaa letu la man u alitembei kabisa mdau wetu alikuwa anatusaidia sana kujaza jaza uzi wetu kule.

Ukimuona mwambie tume miss mashambulizi yake kwa ten hag.
 
Nyumbu limefiligiswa
Nyie endeleeni tu kuchekelea Nyumbu alivyofiligiswa ila nawakumbusha tu Jumapili ijayo mla nauli Asaninyau atakua kwenye dimba la St. James Park akishughulikiwa na mashababi wa New Castle United.
Screenshot_20230505_120258.jpg
 
Nyie endeleeni tu kuchekelea Nyumbu alivyofiligiswa ila nawakumbusha tu Jumapili ijayo mla nauli Asaninyau atakua kwenye dimba la St. James Park akishughulikiwa na mashababi wa New Castle United. View attachment 2610733
Hii mechi sisi MANCHESTER United na jasusi wetu Eric kanjanja Hag ni furaha tu akipgwa Arsenal sawa
Akipigwa Newcastle United sawa
Wakitoa sare ni sawa pia
 
They don't want us to be so good, so wanaona ni bora kulimit available resources zitazofanya Arsenal kuimprove, Edu & Arteta inabidi waje na mpango wa kusajili wachezaji kimyakimya.

#ManCity are among a number of #PL clubs monitoring developments concerning Declan Rice. West Ham are expected to demand £100M for the midfielder.

[via @JamesOlley]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom