Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

They don't want us to be so good, so wanaona ni bora kulimit available resources zitazofanya Arsenal kuimprove, Edu & Arteta inabidi waje na mpango wa kusajili wachezaji kimyakimya.

#ManCity are among a number of #PL clubs monitoring developments concerning Declan Rice. West Ham are expected to demand £100M for the midfielder.

[via @JamesOlley]
 
Sisi tushaimprove watake wasitake Kuna wachezaji wengi tu zaidi ya huyo rice hawezi chukua wote

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tunawasalimia tu nyie idiots 🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20230506-191802~2.png
 
Ivi kweli hili ndo lile jukwaa kila Mda nilikua nakuta nalo lipo juu kbs kwenye threads au nimekosea?

Dah mbona Gunners mmekua wanyonge kiasi hiki mmekosa aman?.. Hamuamini kua ligi nzima mmeongoz nyie anabeba mwngne?.

Ndo mpr njoon bana tujadili walau jinsi gn nyie wazr sana kukabia juu na kuwa overload wapinzan kwny final 3rd

hamis77 ndg yngu nakuomba sana rudi jukwaani tujadili mpr acha mambo ya kujificha vichakani sio mazr.. Acha ushabik oya oya njoo uendelee kuleta takwimu tafadhali.
 
Hali yetu si nzuri sana Kwa sana ila tumejitakia wenyewe. Maisha yaendelee tu hivyo hivyo

Poleen mkuu ndo mpr asee.

Sema ndo mtuvumilie tu kutesa kwa zamu nyie mliongea sana kipind Mnaongoza ngj na sisi tuwakumbushe kdg.

Hii marathon inahitaj calculation sana na Pep alikua anajua mda gn tutawakuta na kwl tumekuta pumz ikiwa imekata mko hoi.
 
Kweli aisee

Sisi ni wa 100m sprints. Marathons Bado hatuziwezi
 
Mmeona timu zinazotaka ubingwa jinsi zinavyocheza Sasa.

Tatizo mmewaachia wapiga mdomo wakina hamis77 ndo wawe wasemaji wenu wa timu.

Yani Mungu mkubwa nyie kelele zote zile mmeishia kuangukia pua.
1683399303882.jpg
 
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
 
It has been a brilliant and an exceptional season for Gunners.
Excellent and kudos to all our young players. Remember the target was top 4. They have exceeded that with aplomb.
We are proud of you and can't wait for next season. Especially the CL.
👏👏👏
 
Hizi ni namna bora ya kujifariji baada ya kukosa vyote. Mkajipange upya na kusajili pia lasivyo mtaona cha moto
 
Kufungwa na brentford ni huko katikati ya msimu , hapa tunaongelea mechi kubaki 8 sijuii kama unaelewa hili, mechi zimebaki 8 uwe bingwa , ndani ya dk 20 unaongoza 2 -0 then unarudishiwa goli zote kijinga inakuja game na Southampton unacheza ujinga pia arsenal mentality ya kibingwa haina , arsena l ni false hope kama unavyoona gemu muhimu tumezingua westham na Southampton hazikuwa zakuzingua then tunakuja kushinda game ya chelsea baada ya kukosa ubingwa umuhimu hapo ukwapi? Must wins game hushindi na hii sio tabia ya mwaka huu tu karibia misimu yote unakumbuka mwaka jana must win games ili kuingia top four tulipoteza tukaja shinda game za kipumbavu na everton magoli mengi yasiyokuwa na faida hii ndo maana halisi ya false hope !!
Must wins game za mwaka jana hatukushinda na must wins game za mwaka huu hatukushinda kifupi mentality ni ile ile hakuna kilichobadilika
Angalia cty anakikosi kikubwa vipi binafsi naona vijana wamechoka mno kikosi ni kilekile kuanzia tunaongoza ligi hivyo Hilo ni tatizo pia...na arteta anajua atalifanyia kazi sina Shaka kabisa

Back
Top Bottom