Kweli ubingwa kama upo upo tu, endeleeni kuusubiri.Pamoja na kwamba tunawacheka arsenal ila bado hata man city sio wa kuwaamini mechi ya fulham city alipata tabu sana bado arsenal wana nafas mech zilizobak ni nyingi lolote linaweza kutokea kama ipo ni ipo tu itachelewa ila unapata haki yako
Arsenal wamejitahidi sana mbele hawana watu wa kutisha ila wamefunga goli nyingi sana kitu ambacho kwenye karatasi unawakataa
Bajet ndogo ila wamefanya makubwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huna akili hata Manyumbu tuliwafunga
DaaaaahSasa hivi Arsenyeto ni kama status za whatssapp, ikifika saa 4 usiku itakua ishatoka hapo ilipo.
Ukiona Asenyo anaongoza ligi jua Man City bado hajacheza. View attachment 2608476
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana watani haya mnayoyapitia yana mwisho, huenda mwaka 2050 mkafanikiwa na nyinyi kubeba Epl.Daaaaah
Nikikumbuka kauli kama hizi tulikuwa tunazisema The Gunners kuwaambia Man City, basi mwili wote unakufa ganzi!!!
Amini nawaaambia epl haiko mbali hii misimu miwili na CL itakuja Emirates arteta anapenda challenges na sio muoga that's why naamini Kuna kitu kinakuja[emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana watani haya mnayoyapitia yana mwisho, huenda mwaka 2050 mkafanikiwa na nyinyi kubeba Epl.
Umpe odd ngapi mkuuOoh yeah.! Sisi Ndio Man City bhana, ukiona kuna timu inaongoza ligi tofauti na sisi bc hao ni vibaka wamebaka nafasi yetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muulizeni liverkideri, msimu mzima alifungwa mechi moja tuu lkn ubingwa akausikia kwenye tv sembuse nyie AssAnal