Sikubaliani na wewe cuz timu zinazopaki bus kunakuwa na wazuiaji wengi so unahitaji attackers wengi ili kufunga goli. 433 inakupa hiyo option, mfumo una namba nane wawili LCM & RCM si km double pivot wa 4231, lkn hata inaruhusu FB kuwa inverted au kupush forward huku structure ikiwa compact km kuna any kind of transition, Inshort 433 inaruhusu defenders kuattack huku tukipunguza risk ya ku concede goals.
Pia unahitaji ku-Interchanging positions ku unlock packed defense, 433 inakupa option ya ku switch positions both kwenye Flank au central,
Xhaka, zinny, Nelli LHS
Saka, Ø, White RHS
Partey/ Jorginho, White Zinny, Xhaka,Ø,Jesus central,
IMO, mfumo wa kushambulia toka enzi huwa ni 433, ukiangalia Ajax total voetball ya kina Johan Cruyff, Barca ya Pep Guardiola etc.