Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lijini limefumua nywele tu akawekaaaa kimiaaani
Arsenyani kondoo ndooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu zangu wana Arsenali timu yetu ni nzuri na ina mwelekeo mzuri. Matokeo yeyote na hapa tulipo ni hatua kubwa. Tuzidi kukuamini Arteta na Bodi imsapoti. Tutafika mbali
Huu ujinga ndio umewafikisha hapo. Umetolewa kwenye makombe yote na ubingwa umepotea baada ya kuongoza msimu mzima. Mtakuwa mmelogwa nyie
 
Kojoeni mkalale nyie vijana wadogo angalau msimu ujao mtakuwa mmeota hata ndevu ili angalau mje mueke battle linaloeleweka mbele ya wanaume
 
Tumetembeza vipigo kwa timu nyingi mpaka zimekua haters siku hizi zote zinashangilia Arsenal ikiwa inastruggle.

Nafikiri imekua haraka sisi kutengeneza haters wengi kwa mara moja huku tukiwa hatuna 100% quality. Tuwe tunabeba hoja za msingi hoja za city ana mashindano mengi ni za kimiyeyusho.

Bado tunaweza kugeuza kitu labda. We'll show great character kama tutafanya hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…