Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,362
- 77,191
Kwahiyo ulitaka Uwanjani acheze yeye tu Caicedo against 11 players from opponent???Sasa ananusa hatari gani kama nyinyi ni mnapigwa goli nyingi kila msimu tangu afike?
Umetoa maoni yako kwa ushabiki Caicedo ni best defensive midfielder in the world huwezi kumjudge kwa hiyo mechi moja ukitoa hiyo red card, red ipi nyingine kapata kwenye huo msimu??hata Leo tukisema tumuweke sokoni hatukosi chini ya pound 150m+ vilabu vyote vikubwa vitamuwaniaMkohoti
James Garner
Huyo pimbi mnaye hadi 2033. Huu upuuzi wake wa kujifunga, red za kipimbi na kuumwa kuhara mtadeal nao kwa miaka 7
Moja kati ya signing bora tuliofanya ni kumsajili huyo dogo Morgan ili ujue ubora wake kaangalie mechi usije ukalishwa matango poli Jamaa anajua muda upi aingie kwenye box na muda upi awe provider wa team hiyo mechi ya Fulham kaweka record ya kuwa mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi za goal na sio tu anatengeneza nafasi anatengeneza nafasi kiufundi pia anaisaidia team kwenye ukabali kitu ambacho ujui ni kwamba Morgan Rogers tumeanza kumfuatilia misimu miwili iliyopita kila dirisha lazima tuhusishwe nae sio kwasababu nyinyi mlimtakani ni kwasababu ana uwezo wakucheza nafasi tatu tofauti LW, AM na RW kama Palmer akiumia Rogers ndio atakuwa no 10 na mateso yataendelea kama kawa kwasababu anajua kutengeneza nafasi na kufunga magoal kitu ambacho kilitukwamisha msimu uliopita ingawa Enzo alijitahidi kuziba nafasi ya Palmer lakini sio mchezaji wakutengeneza nafasi nyingi mchezoni kama alivyokuwa anafanya PalmerJuzi nilikuja nasema nimesoma online kwamba Rajabu bila hilo goli alikua mzururaji. Mimi sikuangalia mechi. Hziyech22 akasema namba zake kwakua anaanza siyo mbaya.
Namba zake zilikua haziachani na goal scorer wa Fulham, Joshua King, jana yamejirudia.
Baada ya mechi 6 tujiandae kuona matusi
Soma hilo caption kubababake kama muvi la kutisha linaanza.Kwahiyo ulitaka Uwanjani acheze yeye tu Caicedo against 11 players from opponent???
Labda siyo vilabu vya mpira kuna vingine umemaanisha.Umetoa maoni yako kwa ushabiki Caicedo ni best defensive midfielder in the world huwezi kumjudge kwa hiyo mechi moja ukitoa hiyo red card, red ipi nyingine kapata kwenye huo msimu??hata Leo tukisema tumuweke sokoni hatukosi chini ya pound 150m+ vilabu vyote vikubwa vitamuwania
Duh yaani mmezoea mateso hadi unatamba mateso yataendeleaMoja kati ya signing bora tuliofanya ni kumsajili huyo dogo Morgan ili ujue ubora wake kaangalie mechi usije ukalishwa matango poli Jamaa anajua muda upi aingie kwenye box na muda upi awe provider wa team hiyo mechi ya Fulham kaweka record ya kuwa mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi za goal na sio tu anatengeneza nafasi anatengeneza nafasi kiufundi pia anaisaidia team kwenye ukabali kitu ambacho ujui ni kwamba Morgan Rogers tumeanza kumfuatilia misimu miwili iliyopita kila dirisha lazima tuhusishwe nae sio kwasababu nyinyi mlimtakani ni kwasababu ana uwezo wakucheza nafasi tatu tofauti LW, AM na RW kama Palmer akiumia Rogers ndio atakuwa no 10 na mateso yataendelea kama kawa kwasababu anajua kutengeneza nafasi na kufunga magoal kitu ambacho kilitukwamisha msimu uliopita ingawa Enzo alijitahidi kuziba nafasi ya Palmer lakini sio mchezaji wakutengeneza nafasi nyingi mchezoni kama alivyokuwa anafanya Palmer
Hii ya uongo, hazipo SIMBA SC na YANGA 😂🤣🤣
Akiwa backup sioni shida🚨Arsenal have interest in bringing Marcus Rashford in on a temporary loan (The Independent). #afc
Sure, at the moment bora deal la raashford likubal kuliko risk ya AlvaresAkiwa backup sioni shida
Ata kipindi tupo unga, Henry alikua anaipa arsenal nafasi ya kuchukua ubingwa
Tupo tunabanana hapa hapaWatu kama hao wasipokimbia jukwaa hapo baadae basi tujiandae kwa kupokea matusi