Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

OMBAOMBA FC.
20230422_043820.jpg
 
Unaona kejeli zako zinajaza wapinzani humu Jukwani?nilikuwa nakuonya usiweke ushabiki chambua football [emoji460]️ na facts ona sasa leo Jukwaa linajazwa na wapinzani bila sababu ya msingi hamis77 ,wakati naonya ilikuwa naonekana mpinzani ,sometimes niliitwa ARV milangomitatu na wanaojiita die hard fans haya sasa pamenuka umekimbia ,tulichoambulia ni kuwa champions league but hayo ni mafanikio kwa big team kama Arsenal ambayo season nzima ilikuwa 1st position kwenye league?Acha tuendelee kupokea matusi
Hamis77 hapo anangoja mpaka tucheze na Brighton kesho ndo hajitokeze.

Jamaa ni muoga sana na malaya wa mpira.
 
Unaona kejeli zako zinajaza wapinzani humu Jukwani?nilikuwa nakuonya usiweke ushabiki chambua football [emoji460]️ na facts ona sasa leo Jukwaa linajazwa na wapinzani bila sababu ya msingi hamis77 ,wakati naonya ilikuwa naonekana mpinzani ,sometimes niliitwa ARV milangomitatu na wanaojiita die hard fans haya sasa pamenuka umekimbia ,tulichoambulia ni kuwa champions league but hayo ni mafanikio kwa big team kama Arsenal ambayo season nzima ilikuwa 1st position kwenye league?Acha tuendelee kupokea matusi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji kama Jorginho lazima alitakiwa awe starter kwenye timu kama Arsenal. Anawekwa benchi na wachezaji wanaocheza mpira wa kubahatisha na pia wanakosa strong mentality.
 
Mimi naamini matoke yoyote kwa Arsenal msimu huu yatakuwa mazuri kwa plan hao. Lengo lilijuwa top 4, wakapambana mpaka Sasa wangombea ubingwa. Kikosi chetu bado japo wachezaji wamejitahidi sana. Hii iwe wake up call kwa viongozi kuhusu dirisha lijalo. Ukitaka kupambana na City lazima pumzi ziwepo na rotation za wachezaji ziwe za kutosha. COYG
Naona mmeanza taratibu kuhamisha magori.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom