Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiwa shabiki wa Ass'anal lazima uwe na kipara mana sio kwa tabu hizi za duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu haijawahi kuchukua uefa wala europa tangu ianzishwe na haitachukua mpk kiama, mara ya mwisho kuchukua epl ukiiuliza computer [emoji2773] inazimika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walikuwa washaanza kuaminisha watu kwamba hawa kenge ni mabingwa watarajiwa, mm nilikuwa sitaki kuamini mpaka dakika ya mwisho mana nilijua tu.

Ass'anal tangu lini wakawa serious, timu ina vitoto toto kibao alafu wanataka ubingwa, labda ubingwa wa nyoko.
 
Hapa sitoki mpaka lije Greda mbwa nyie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nasemajeeeeeeeeeee Ass'anal bingwaaa
IMG_20230414_092549.jpg
 
Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate

Tutamfanya hamna hapo kwake


Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city

Nyingine na kiande yeyote

Uwezo tunao Nia tunayo

Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa

Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana


Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
Tujikumbushe [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zinny Ni muhimu kuliko mchezaji yeyote kwa muono wangu, ndiye anafanya maamuzi magumu ya kuitoa timu chini kwenda juu kwa kuchukua Risk kubwa sababu ya uwezo wake

Kwa mechi tatu za mwisho nilizomuona Liverpool , kazi anayo aisee

Kwanza Arsenal Sasa hivi hawakubali kabisa ukae na mpira , ndio maana Ni timu Moja tu ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kutu dominate Tena 2nd half tayari tuna matokeo ,vs Brighton away .

Wengine wote Ni kuwapakisha Basi
Muone huyu kima [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom