Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,513
- 38,165
Daahhh Carrasco umeanzisha msako wa nyumba kwa nyumba kuzitafuta hizi kima zilipo jificha?
Tunakuomba kila unapoziona kwenye majukwaa mengine zikamate kisha uzilete humu zijibu shutuma zinazo wakabili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [mention]HENRY14 [/mention] namuona jukwaa la mapishi arsexual imeshamvuruga