Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Endelea kusubiri ,ila hii Arsenal tuliona ikigombea ubingwa toka pre season ,japo mlibisha Sana

Mechi ya Jumapili usitegemee Liverpool a dominate mechi

Hadi Sasa Epl mechi ya 29 ,Ni mechi Moja tu vs Brighton ndio mechi Arsenal alikuwa dominated Tena 2nd half

Wengine wote unaowajua wamekuwa wanapaki Basi muda mwingi
Heheheee uyu jamaa lazima atajinyonga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado nafasi tunayo lolote laweza kutokea mechi 7 nyingi hizo.. nyie pigen makelele ila mnajua bingwa wenu msimu huu ni arsenal.
 
Screenshot_20230418_195349_Chrome.jpg

Naomba wakati tunachangia huu Uzi wetu hapa tuendelee kukumbushana na Msimamo wa Ligi ulivyo hadi sasa.

Kuna wengie timu zao hata hapo hazionekani 🙌
 
Martinelli Jesus Saka

Hii Trio mapema Sana tutashinda jumapili

Xhaka & Partey kwenye midfield

Odegaard Kama Muunganishaji

Jesus ameanza kurudi kwenye ubora ,anarud chini kabisa kuchukua mipira

Akianza TAA nadhani tuta utarget Sana huo upande

Ila nahisi ataanza Gomez maana katika mechi 18 alizoanza TAA ,winger ,za Kushoto za timu pinzani wamekuwa MOT Mara 12-14
Anavyochambua sasa utadhani timu kweli kumbe ushuzi mtupu, timu haina uefa wala europa yeyote tangu ianzishwe na haina nafasi hiyo mpk mwisho wa dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anavyochambua sasa utadhani timu kweli kumbe ushuzi mtupu, timu haina uefa wala europa yeyote tangu ianzishwe na haina nafasi hiyo mpk mwisho wa dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia ina miaka zaidi ya 8 haijawahi kuingia kwenye top4 ya Epl.
 
Hili Jukwaa limevamiwa na Wananchi wenye hasira kali yaani wanashambulia kama vile wanapiga mwizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom