Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pale Machinjioni etihad mje mmeoga.
Maana mkijitahidi saana + huruma ya pep kwa mwanafunzi wake mtakula 4-nunge.

Tena na hapo ni baada ya kuwa fair tu kuwawekea wavulana wenzenu kina palmer, rico lewis, maximo perrone n.k ili iwe boys vs boys.
Ikiwa men vs boys tutakuja kuanza kuongelea habari za arseNANE.
 
Katika mashabiki wote wa Arsenyani hichi kichwa pekee ndio hua hakiendeshwi na mihemko ya kiushabiki.
IQ ya computerarsenal mmoja ni sawa na IQ za kina verifaidi yuza hamis77 mkorea na vihande vingine kama 100 hivi vya Arsenyau.
Ila ki ukweli computerarsenal huo uwezo wako wa kupambanua mambo hua nakuona unajidhalilisha sana kushabikia hili litimu lisilojielewa miaka nenda rudi ni mara 1000 hata ungeshabikia Newcastle United.
 
KUMBUKIZI
Tujikumbushe jinsi hizi Kima zilivyokua zinaropokwa.
 
Jumapili tutakua na uzi wetu mweusi pale kwa wala pensheni FC

Wamejaribu kupumzisha baadhi wa wazee wakidhani wataweza kuukwepa msalaba wa jumuiya

Wasijiroge wakaleta mchezo wa kupishana kitachowapata wataenda kusimuliana View attachment 2579250
KUMBUKIZI
Tunajikumbusha jinsi hizi Kima zilivyokua zinaropokwa kabla ya mechi na Liverpool.
 
Kumbukizi:
Mentality ya namna hii ni nadra sana kuikuta kwa mashabiki wa Arsenyau, huyu jamaa jinsi alivyowazidi IQ ndio maana hua wamuona kama vile ni mamluki.
Shabiki mwingine wa Arsenyau anaejitahidi kidogo nae kutoendeshwa na mihemuko ni HENRY14 huyu jamaa pekee ndie anauwezo kuingia humu na kucomments hata baada ya timu yao kufungwa.
wengine wote waliobaki ni Maharage matupu wazee wa kujipiga ban wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…