Karibu man city jamani huzuni zote zitaishaBora mimi Chelsea najijua kabisa nna timu ya wacheza rede kuliko nyie AssAnal mnakaza mwanzoni afu mnakuja kuzngua dkk za mwisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]Westham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwao
Mm n shabiki wa City kwa msimu huuKaribu man city jamani huzuni zote zitaisha
poleh na wacheza rede wako
HahaaaaaaaaaaaaNjoeni tuwacheke Arsenal hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji375][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HATA MIMI NAONA MKUU WESTHAM WAMEKUFA ASEEE 😂😂😂😂😂Westham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwao
Mmebanduliwa 😂😂Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]
LazimaaaaaaaaaaaaNasemaje, Man City anashinda mechi zote za EPL na UCL
Unasema!? 😂😂😂😂😂Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]