Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Narudia tena kama timu inayoongoza ligi inacheza hivi, ligi ya uingereza ipo chini kwa ubora
Acha kukariri soka juzi umeona jinsi timu inayoongoza ligi huko spain Barcelona ilivyogalagazwa natimu mbovu ya man utd
 
3rd
Screenshot_20230416_190249_All%20Goals.jpg
 
Sasa kama mbovu kwanin iongoze ligi nakwanin ushangae arsenal kuongoza ligi nakucheza vibaya leo... Idiot
 
Ila Arsenal daah still bado hata kocha yetu ana lack of maturity, kuna haja ya kula pindi kwa Fergie na Morinho ambao wanajua jinsi ya kucheza mechi za mwisho ambazo zina amua ubingwa.

Wachezaji nao inabidi wakue kidogo wajue tupo kwenye mbio za kugombea ubingwa, mechi ya pili tunaongoza mbili zote zinachomolewa.

Hivi Etihad hapo sijui itakuwaje daah.
 
Jamaa anatutisha but the real truth huu ndio ukweli wa Kipara hanaga mzaha wana Gunners wenzangu,players na kocha waondoe presha na wawe very serious muda huu,tumekosa FA,Carabao na Europa tukasema tunaweka nguvu kwenye EPL ili tuwe na match chache so kwa sasa ni no excuse tunahitaji EPL liende kabatini Emirates[emoji120][emoji120]View attachment 2583580
Uliwaonya wadogo zako wakashupaza shingo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom