Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy [emoji471], now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know

Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani
Kipara yupi unamuongelea hapa computerarsenal Guardiola au ETH? Maana hata kipara wetu TEN HAG bado yuko kwenye makombe matatu.
Screenshot_20230416_180840.jpg
 
Arsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy [emoji471], now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know

Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani
C tulikubaliana tucheze UCL msimu ujao tuu, mambo ya ubingwa yametoka wapi tena mkuu.? 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom