Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado Mansite, Chelsii na Nyukesto wanawasubiria wawapige miti.View attachment 2590078
20230410_132247.jpg
 
Arsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy , now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know

Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani
Bila kusahau mmetoshana nguvu na West Ham waliocheza Alhamisi.
 
This is very poor.

Arteta anasema amejua tunatakiwa kuchezaje surprisingly yale yale yamejirudia. Magoli 2 in 10 minutes what follows ni kucheza waiting game wakati opponent akiupata mpira anakufuata nao.

Hii staili ya uchezaji ilikua kipindi hicho anachukua timu naona kaiamulia tena, ni staili ya kijinga. Huyu Jorginho kwa timu hii ataonekana hafai coz yeye akipiga long balls kuna wajinga wamesimama unnecessarily wanasubiri sideway passes na back passes.

Mtu anapokea mpira anatoa pasi haendi mbele anaganda palepale. Timu haina desire, hii ndiyo tofauti kati ya timu inayotaka ubingwa na zingine, a desire to win haijalishi kama una quality players, kama desire is poor mambo ya mechi iliyopita na hii yatajirudia sana

By the way Ramsdale hajawahi daka penat ni ama mpigaji atoe au ascore ila siyo kudakiwa.
 
Kuna jamaa anasema alitubetia kastake high 😂😂😂😂😂

This is for you nyumbu wewe
 
Back
Top Bottom