Shabiki maandaziMm n shabiki wa City kwa msimu huu
Real Madrid walitoa majibu last seasonNarudia tena kama timu inayoongoza ligi inacheza hivi, ligi ya uingereza ipo chini kwa ubora
Hii ndio maana halisi ya kutaka ubingwaArsenal hivi mnajua timu mnayofukuzana nayo ubingwa inatisha kiasi gani.
Angalia hapa hii mechi ndo mtaelewa.View attachment 2590074
Pumzi zimekataTumechoka ama Nini?
Mtoto halali na hela...Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG![]()
Tena maandazi pro maxShabiki maandazi
katoka nje ya mchezo kabisa ila leo mwanzo mwisho game imemkataa .Saka naona lile bunda linamsumbua akili, ale benchi kidogo akae sawa
mkuu dawa imewaingiaa na wameelewaArsenal hivi mnajua timu mnayofukuzana nayo ubingwa inatisha kiasi gani.
Angalia hapa hii mechi ndo mtaelewa.View attachment 2590074
, now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know